Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Sasa kama limekuathiri si ungeenda kuwaambia wazazi wako hapa unalia lia nini?
Hivi wewe ndie mtoa mada kumbe sorry am mistaken!!! Na Kujulia watu hali nimelia???!!! Eeee makubwa haya....nimekusoma mkuu yameisha. Wacha mimi ndo nipite kuleeee [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] watu na vihoro vyao





Cc Smart911
 
Shoga huo uzi niliuona kabisa huo uzi unawagusa wengi humu jf kina kaka wa humu ukute hata huyo smart wako hayumo kabisa
 
Mimi sifake mkuu. Kwanza hata kusemaga uongo siwezi kwenye maisha ya kawaida maana nasahau sana. Viwanja kwa sana kiukweli shida ya kuwa wa mjini ila ntafanyaje sasa [emoji2][emoji2][emoji2]
Wewe nimekufuatilia kwa mada zako kadhaa nikaligundua hilo mkuu atleast wewe uko mkweli kiasi chake....

Ila itakubidi upunguze kidogo kula bata [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Sina utoto wa hivi, huwa mnanikera ninavyowaona mnanyodo kumbe sura za kiume tupu..!

Anyway, uzuri wa kitu/mtu upo machoni mwa mtu!
Hahaaa. Nikurudishe hivyo yule wa kwenye post yako ya kwanza hujamuona pia sababu huna utoto wa kumwaga siri hadharani.

Au sijakuelewa? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Shoga huo uzi niliuona kabisa huo uzi unawagusa wengi humu jf kina kaka wa humu ukute hata huyo smart wako hayumo kabisa
Ukweli ni kwamba smart September eleven hahusiki kule kwanza haishi dodoma ila walivotuita Ita sasa.. Cha kushangaza Mpaka Namimi niliitwa .. If the case wa Lile jina Mr smart wangemwita Smart911 pekeake

Afu Kuna habari nyingine humu za kichochezi zinahitaji akili ya ziada .. Lasivo unaeza panic ukagombana na mtu wako bureeee

Wengine mpaka waleo wanakomentigi na kuweka Mr smart kwenye comment zangu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…