Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe ndie mtoa mada kumbe sorry am mistaken!!! Na Kujulia watu hali nimelia???!!! Eeee makubwa haya....nimekusoma mkuu yameisha. Wacha mimi ndo nipite kuleeee [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] watu na vihoro vyaoSasa kama limekuathiri si ungeenda kuwaambia wazazi wako hapa unalia lia nini?
Katika ubora mkuu.... mbona kwa mtogole kila siku walikufanya nini mkuu??Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uko log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
Miguu yao utakuta imeota vigimbi kwa kutembea umbali mrefu [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wengi show off tu. Na kujishebedua kumbe uhalisia ni wadada wa uswahilini. Hizo avatar nzuri nzuri na majina seductive ni yakuchunia maboya tu.
Shoga huo uzi niliuona kabisa huo uzi unawagusa wengi humu jf kina kaka wa humu ukute hata huyo smart wako hayumo kabisaNimemwambia mtoa mada aliyeletaga hio ishu sio wewe! Hujui huo uzi uliniathiri kiasi gani naomba upite kuleeee [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
Ubaya Mimi huwa sisahau haraka haraka
Hata hivo nimehitaji kujua hali zao tu
Cc Smart911
Ila wewe naona hau fake life .... unaonekana ni mtu wa viwanja kwa sana mkuu....Sema kuigiza ni kipaji mjue. Waacheni wanaogiza na wanaweza kuishi kwenye maigizo yao. Sema mtuache bwana. Ndo maisha yetu tushaamua.
Ndo jf ilivyo!! Mtu anaandika halafu anasepaAlafu hatajibu anatuacha tujichanganye wenyewe
Anao sema kapata pa kutolea stress zake. Anapendaga ugomvi kama shoga ake wa zamani MangeHuyo Anatafuta followers Hakuna Chochote hapo
Usije ukanianika sababu si unasema ushawahi niona. Teh teh.Unakimbia nini?? Kila nikijaribu naambulia patapu! Kibaya zaidi ata kichwani weupe peeee!
Apambane na Hali yakeAnao sema kapata pa kutolea stress zake. Anapendaga ugomvi kama shoga ake wa zamani Mange
Mimi sifake mkuu. Kwanza hata kusemaga uongo siwezi kwenye maisha ya kawaida maana nasahau sana. Viwanja kwa sana kiukweli shida ya kuwa wa mjini ila ntafanyaje sasa [emoji2][emoji2][emoji2]Ila wewe naona hau fake life .... unaonekana ni mtu wa viwanja kwa sana mkuu....
Wewe nimekufuatilia kwa mada zako kadhaa nikaligundua hilo mkuu atleast wewe uko mkweli kiasi chake....Mimi sifake mkuu. Kwanza hata kusemaga uongo siwezi kwenye maisha ya kawaida maana nasahau sana. Viwanja kwa sana kiukweli shida ya kuwa wa mjini ila ntafanyaje sasa [emoji2][emoji2][emoji2]
Sina utoto wa hivi, huwa mnanikera ninavyowaona mnanyodo kumbe sura za kiume tupu..!Usije ukanianika sababu si unasema ushawahi niona. Teh teh.
Hahaaaa. Basi inatosha bwana. [emoji12]
Hahaaa. Nikurudishe hivyo yule wa kwenye post yako ya kwanza hujamuona pia sababu huna utoto wa kumwaga siri hadharani.Sina utoto wa hivi, huwa mnanikera ninavyowaona mnanyodo kumbe sura za kiume tupu..!
Anyway, uzuri wa kitu/mtu upo machoni mwa mtu!
HahahaBwana mbona wao wanatusema.
Aaarrghh toa hiyo avatar rudisha tu ya neyma upole ndio kawaida yangu [emoji85][emoji85]Mbona Leo mpole ivyo,?
Ukweli ni kwamba smart September eleven hahusiki kule kwanza haishi dodoma ila walivotuita Ita sasa.. Cha kushangaza Mpaka Namimi niliitwa .. If the case wa Lile jina Mr smart wangemwita Smart911 pekeakeShoga huo uzi niliuona kabisa huo uzi unawagusa wengi humu jf kina kaka wa humu ukute hata huyo smart wako hayumo kabisa
Umenifurahisha sana mkuu.kunywa castle lite nitalipa.Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uko log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
Hahahahaha hapana mi nimeweka mara moja tu make Ile tafiti nayo imechambua jf members..Naona unamsaidia Money penny mi nani [emoji2][emoji2]