Huwa napenda wanawake wenye wigo mpaka kimawazo kama ww, haya wa aerial na sunlight njooni kwangu [emoji56]Chief wale wa povu la Aerial na Sunlight tuelekee wapi? Naona umewaita wa Omo tu!!
It ain't fair, 'tanua' uwanja wa povu!!!
Hahahaaa mie sio kimeo mkuu najiamini na sifake nipo halisia kila ukionacho kwenye maandishi ndivyo nilivyoAfafanue nini mu vimeo tupu, kuna mmoja anajifananisha na gari fulani matata sasa muone alivyo utadhani kiboko.
Mkuu kwani ulitaka aweje na ulikkua humjui?Mkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Heri yako, kama usemayo ndiyo binafsi nakerwa na wadada vimeo alafu wapiga domo huku kichwani weupe peee![emoji23][emoji23]Hahahaaa mie sio kimeo mkuu najiamini na sifake nipo halisia kila ukionacho kwenye maandishi ndivyo nilivyo
Wengi wao ni frustration ya kimahusianoUsemayo mkuu ni kweli kabisa wengi wao karibu wote wanaishi maisha ya maigizo na pia wako frustrated sana..........sijui shida nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sky eclat umeua mama, you made my weekend.Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
Kweli ni utoto. unajua nimeangalia mwaka aliojiunga mleta mada na uzi wake vikawa haviendani kabisaHahaaa. Nikurudishe hivyo yule wa kwenye post yako ya kwanza hujamuona pia sababu huna utoto wa kumwaga siri hadharani.
Au sijakuelewa? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio maana umasikini hautoisha kabisa Tz watu wanajiona kuwa tayari washafanikiwa kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sehemu nzuri kwa tunaopenda Day Dreaming....
Ndivyo nilivyo mkuuu japo hyo picha avatar sio yangu ila jina ni kifupi cha majina yangu. Yani siwezi kuwa two sides at one place. Mara leo nimeolewa kesho sijaolewa nooo.Heri yako, kama usemayo ndiyo binafsi nakerwa na wadada vimeo alafu wapiga domo huku kichwani weupe peee![emoji23][emoji23]
Nimejikuta nacheka kwa sautiMwanaume akikosa hela anafuatilia vitu vya kijinga sana.
Haka katabia kako pembe zote za dunia, tunakoelekea si kuzuri.Ndio maana umasikini hautoisha kabisa Tz watu wanajiona kuwa tayari washafanikiwa kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe acha tabia mbaya mambo gani haya ya kutuharibia siku sasa
Tuendeleeni tu kufake maisha
Mimi team banana... sipo kwa team tango wala kibamia bestie.... [emoji4] [emoji4]Kumbe una mandingo
Mapaja hayo....[emoji39] [emoji39] [emoji39] anyway uko na vidole na kucha kama za kwangu mkuu....
Tuendeleeni tu kufake maisha
PambaaanaaWewe acha tabia mbaya mambo gani haya ya kutuharibia siku sasa
Njoo tunyweNimepata kwa kiasi fulani
Nina kiasi kwa sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana... Love you sana mahondaw wangu...Ukweli ni kwamba smart September eleven hahusiki kule kwanza haishi dodoma ila walivotuita Ita sasa.. Cha kushangaza Mpaka Namimi niliitwa .. If the case wa Lile jina Mr smart wangemwita Smart911 pekeake
Afu Kuna habari nyingine humu za kichochezi zinahitaji akili ya ziada .. Lasivo unaeza panic ukagombana na mtu wako bureeee
Wengine mpaka waleo wanakomentigi na kuweka Mr smart kwenye comment zangu....