lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Bwashee sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika!Napendekeza waziri wa sekta fulani angalau awe na degree au masters inayohusiana na sekta anayoisimamia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika!Napendekeza waziri wa sekta fulani angalau awe na degree au masters inayohusiana na sekta anayoisimamia!
Uchunguzi wako uko sahihi mkuu,naulizia swali hivi nikwann asilimia kubwa yawatanzania hatupendi mwenzetu afanikiwe au aishi vizuri.Una hoja, ila huku haiwezekani, watu wanachukia walionacho, nimeshafanya uchunguzi mitandaoni, zaidi ya 70% ya watanzania hawapendi mwenzao aishi vizuri
Hii tunaiondoa soonBwashee sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika!