lyenyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2020 Posts 2,651 Reaction score 7,299 Aug 13, 2022 #181 Lord denning said: Napendekeza waziri wa sekta fulani angalau awe na degree au masters inayohusiana na sekta anayoisimamia! Click to expand... Bwashee sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika!
Lord denning said: Napendekeza waziri wa sekta fulani angalau awe na degree au masters inayohusiana na sekta anayoisimamia! Click to expand... Bwashee sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika!
Benbulugu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 852 Reaction score 1,236 Aug 13, 2022 #182 Basi Nenda said: Una hoja, ila huku haiwezekani, watu wanachukia walionacho, nimeshafanya uchunguzi mitandaoni, zaidi ya 70% ya watanzania hawapendi mwenzao aishi vizuri Click to expand... Uchunguzi wako uko sahihi mkuu,naulizia swali hivi nikwann asilimia kubwa yawatanzania hatupendi mwenzetu afanikiwe au aishi vizuri.
Basi Nenda said: Una hoja, ila huku haiwezekani, watu wanachukia walionacho, nimeshafanya uchunguzi mitandaoni, zaidi ya 70% ya watanzania hawapendi mwenzao aishi vizuri Click to expand... Uchunguzi wako uko sahihi mkuu,naulizia swali hivi nikwann asilimia kubwa yawatanzania hatupendi mwenzetu afanikiwe au aishi vizuri.
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Aug 15, 2022 Thread starter #183 Yametimia Hustler na Mtafutaji William Samuel Ruto ndo Rais wa 5 wa Kenya Hongereni sana Wakenya
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Aug 15, 2022 Thread starter #184 lyenyi said: Bwashee sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika! Click to expand... Hii tunaiondoa soon Watafuata mawaziri walio wa diploma na elimu za hapa na pale alafu tunamaliza na utajiri wa kila kiongozi Lazima uwe tajiri ili tukupe uongozi kuanzia sasa
lyenyi said: Bwashee sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika! Click to expand... Hii tunaiondoa soon Watafuata mawaziri walio wa diploma na elimu za hapa na pale alafu tunamaliza na utajiri wa kila kiongozi Lazima uwe tajiri ili tukupe uongozi kuanzia sasa