Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

Ukikutana na Lazaro aliyekufa kisha akafufuliwa na Kristo Yesu, umuulize umuhimu wake ulikuwa nini hata afufuliwe!

Biblia inapokataza usiue, Mungu anajua kuna wapuuzi watajaribu kukatisha maisha ya wengine!
Well Said!!!
 
Hakika Hayati Magufuli aliipenda sana TANZANIA na AFRIKA yetu. R.I.P JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
R.I.P JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
R.I.P JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
MTU WA HOVYO MWINGINE HUYU ANAENDA KUABUDU KABURI.
 
Umejua alikuwa kiongozi Bora baada ya kuliona kaburi lake ??[emoji102]
 
R.I.P JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kupelekwa kusikojulikana, watu wasiojulikana hai na wafu, gari zisizojulikana, kura alizopata 2020 ziko kusikojulikana na hazijulikani, alifia kusikojulikana ndio ilikuwa mbiu awamu ya tano. Hivyo muenzini kwa mwili wake kuwekwa kusikojulikana, inaleta mantiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…