Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
arYaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.
1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.
In short apple complicates everything.
ππTobaa yalillah unampiga kibunda upyaNa yeye kanikalia kooni asiponitaja humu bado anahisi hayuko jf π€£π€£π€£
Atakuwa kile kibwana changu cha Tabata bima huyu Half
Ushamba ni kulazimisha kitu unachoona wewe kikali basi nawangine waone kikali pia unafikiri apple kufika hapa waliotea kama wewe unavyootea maisha [emoji23][emoji23][emoji23] alafu hakuna kampuni ya magari inaitwa marcidiz benz g class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni Mercedes Benz G Class kiufupi tu aliozoea iphone akihamia android lazima ataiona yaajabu na aliozoea android ataiona iphone ya ajabu kwasasa iphone kajipata vizuri watumiaji walikuwa wanalalamika battery zinawahi kuisha sasa shika 13 pro max mpaka 15 pro max zinatunza moto kuliko tecnoo
iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....
Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu
Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android
Ni kama ka prison kadogo hivi.
Alisikika mtumiaji kindakindaki wa appleTafuta pesa mkuu.
πππKwaiyo uko na Android au zile zenyew website[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sure niliiacha I4n kisa kuna chimbo 3 zilikataa ku install, nkaona niachane nayo tyuuh.
Siku I4n wakitoa limitations zao za kiwakii, mbna mapemaa tyuuh naishi nayo.
Niko na android na cna was was. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Kwaiyo uko na Android au zile zenyew website
Sim nyingine yenye kunishawishi ni NOKIA pekee ππNiko na android na cna was was. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wasemaHiyo ni uongooooo
Aloo jamani πππMazoea ya kuendesha PASSO usiyalete kwenge lc 300 gsport kila kitu kinawatu wake usiige.
Anyway unaweza pakua vikeybord app kwenye apple store hua vina acces ya customize mambo kama hayo but pia vitataka ulipie ok?
Kikubwa pumzi mkuu mpambano unaendeleaN
Na mimi sina Aisee viatu vyenyewe vimeisha upande na bado nakomaa navyo
Ukioleka au kuwa busy penzini kuna vitu unajikuta unavisahau tu...Dyadyaa kwann usemee nimeolekaa?
Niliolekaa tangu mdaa, ila kwa sasa ndo naishi na shem wakoo.
Afu majukumu ya kutafuta maokotooo, yanafanya tupotee JF kwa muda.
Mic u mnoo [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Nazan kichwa chako siyo kizur na kama ni kizur bhas umelewa na kama hujalewa bac ulikuwa unajib text nyingine siyo hiyo uliyo quoteUshamba ni kulazimisha kitu unachoona wewe kikali basi nawangine waone kikali pia unafikiri apple kufika hapa waliotea kama wewe unavyootea maisha [emoji23][emoji23][emoji23] alafu hakuna kampuni ya magari inaitwa marcidiz benz g class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni Mercedes Benz G Class kiufupi tu aliozoea iphone akihamia android lazima ataiona yaajabu na aliozoea android ataiona iphone ya ajabu kwasasa iphone kajipata vizuri watumiaji walikuwa wanalalamika battery zinawahi kuisha sasa shika 13 pro max mpaka 15 pro max zinatunza moto kuliko tecno
[emoji23] kibwana eeh?
Mazoea ya kuendesha PASSO usiyalete kwenge lc 300 gsport kila kitu kinawatu wake usiige.
Anyway unaweza pakua vikeybord app kwenye apple store hua vina acces ya customize mambo kama hayo but pia vitataka ulipie ok?
Yani mimi nilipie keypad? Kuwa seriousMazoea ya kuendesha PASSO usiyalete kwenge lc 300 gsport kila kitu kinawatu wake usiige.
Anyway unaweza pakua vikeybord app kwenye apple store hua vina acces ya customize mambo kama hayo but pia vitataka ulipie ok?