Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nitarudi
Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.

1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.

In short apple complicates everything.
ar
 
Na yeye kanikalia kooni asiponitaja humu bado anahisi hayuko jf 🤣🤣🤣
Atakuwa kile kibwana changu cha Tabata bima huyu Half
😂😂Tobaa yalillah unampiga kibunda upya

Ila tafadhali usimfungie kijana wetu kama ashura kwa mwenyekiti bado tunamhitaji
 
Ushamba ni kulazimisha kitu unachoona wewe kikali basi nawangine waone kikali pia unafikiri apple kufika hapa waliotea kama wewe unavyootea maisha [emoji23][emoji23][emoji23] alafu hakuna kampuni ya magari inaitwa marcidiz benz g class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni Mercedes Benz G Class kiufupi tu aliozoea iphone akihamia android lazima ataiona yaajabu na aliozoea android ataiona iphone ya ajabu kwasasa iphone kajipata vizuri watumiaji walikuwa wanalalamika battery zinawahi kuisha sasa shika 13 pro max mpaka 15 pro max zinatunza moto kuliko tecnoo

Kweli zinatunza moto sanaaa
 
iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....

Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu

Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android

Tafuta pesa mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sure niliiacha I4n kisa kuna chimbo 3 zilikataa ku install, nkaona niachane nayo tyuuh.

Siku I4n wakitoa limitations zao za kiwakii, mbna mapemaa tyuuh naishi nayo.
😁😁😁Kwaiyo uko na Android au zile zenyew website
 
Mazoea ya kuendesha PASSO usiyalete kwenge lc 300 gsport kila kitu kinawatu wake usiige.

Anyway unaweza pakua vikeybord app kwenye apple store hua vina acces ya customize mambo kama hayo but pia vitataka ulipie ok?
 
Dyadyaa kwann usemee nimeolekaa?
Niliolekaa tangu mdaa, ila kwa sasa ndo naishi na shem wakoo.

Afu majukumu ya kutafuta maokotooo, yanafanya tupotee JF kwa muda.

Mic u mnoo [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Ukioleka au kuwa busy penzini kuna vitu unajikuta unavisahau tu...

Karibu tena basi...Miss you pia Dogo..
 
Ushamba ni kulazimisha kitu unachoona wewe kikali basi nawangine waone kikali pia unafikiri apple kufika hapa waliotea kama wewe unavyootea maisha [emoji23][emoji23][emoji23] alafu hakuna kampuni ya magari inaitwa marcidiz benz g class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni Mercedes Benz G Class kiufupi tu aliozoea iphone akihamia android lazima ataiona yaajabu na aliozoea android ataiona iphone ya ajabu kwasasa iphone kajipata vizuri watumiaji walikuwa wanalalamika battery zinawahi kuisha sasa shika 13 pro max mpaka 15 pro max zinatunza moto kuliko tecno
Nazan kichwa chako siyo kizur na kama ni kizur bhas umelewa na kama hujalewa bac ulikuwa unajib text nyingine siyo hiyo uliyo quote
 
Mazoea ya kuendesha PASSO usiyalete kwenge lc 300 gsport kila kitu kinawatu wake usiige.

Anyway unaweza pakua vikeybord app kwenye apple store hua vina acces ya customize mambo kama hayo but pia vitataka ulipie ok?

Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]

Habari za kulipia si atachanganyikiwa kabisa
Mwenzio kazoe Apkmode [emoji23][emoji23]
 
Mazoea ya kuendesha PASSO usiyalete kwenge lc 300 gsport kila kitu kinawatu wake usiige.

Anyway unaweza pakua vikeybord app kwenye apple store hua vina acces ya customize mambo kama hayo but pia vitataka ulipie ok?
Yani mimi nilipie keypad? Kuwa serious
 
Back
Top Bottom