Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Sare atafunga Lamomy nae sijui kavuruga wapi jamani naona ako na ban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona, nimepumzika ban sahv, yaan nlivokuwa napewa utadhan kuna Mode alinitongoza nkamkataa, woiiiiih.

Saree mkuje na mizawadiii mingiii, c mnajua cna jamboo dogo, had shem wenu asijute kuangukia kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Camera naipa 6/10
 
Acha fix weweeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja aje atakwambia mbibi anakuchekea kwa kutisha tulimsema sana abadili akatugomea hatimaye ameibadili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siyo vizuri Auntie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…