Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Kwenye android waulize wanatumia features Zote ? Some of us simu ni kwa ajili ya basics tu, be it android or iOS.

Watu utasikia wakiwaambia watu “live your life” but when comes to ios users mishipa inawatoka, kwani what happened to our motto “live your life”??? 😂

Iphone tutatumia tu hata kwa kuupgrade, naamini walioweka upgrade sio wajinga.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Uzi umebadilika kutoka Kumshauri jinsi ya kutumia namba kwenye Keyboard ya IPhone hadi vita baridi ya IPhone na Android.

Nami narusha mawe 😀Ukitoa Huawei(iliyotishia biashara nyingine mpaka kuzuiwa huko duniani) Ni shabiki kindakindaki wa Google pixel.

Apple endeleeni kulamba lips chooni
 
Our motto is mottoring unaambiwa
Moto umetuchoma mpaka tunasahau slogan “live your life” 😆

Mie binafsi watu wa kuponda IOS nashindwa kuwaelewa
Wao kama wamezoea kuvaa matambara ya Fredy si waendelee? Kwanini watuseme tunaovaa midosho ya mtumba 🤣🤣🤣🤣
 
We ni mjanja unajua baadhi ya apps kuzitumia, wengine sasa ni kizungumkuti.. unaweza kumuuliza kazi ya hii app ni ipi anakwambia hajui yeye kaikuta tu
 
Number row ipo, inabidi ui activate. Bofya chini hapo:

 
Khee
Kumbe shida ni kwake kutokujua? Sasa badala aulize anaponda simu.

Ahsante bibi kwa kutujulisha 😃
 
We ni mjanja unajua baadhi ya apps kuzitumia, wengine sasa ni kizungumkuti.. unaweza kumuuliza kazi ya hii app ni ipi anakwambia hajui yeye kaikuta tu
Kuna hii notes uliisahau 🤣

Naitumia kuandika ya moyoni.. na pia naitumia kuscan document.
Unaijua? Ms eyes
Mail situmii.. sbb natumia gmail na outlook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…