Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Wewe ni Mimi Sasa ndio maana hapo kwenye animal prints palinichosha,ghafla nikasikia na I phone Daaah hatujamaliza bado kusikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitakuwa naku update kila nikisikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alafu nilichogundua simu nyingi za iPhone za wadada awa njaa njaa NI feki yaan ukimwambia akupige picha Bora hata Tecno tochi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa,
 
Sasa mzee kwanza umetumia vigezo gani kufananisha simu na gari?

Pili ni wapi nimewapangia watu matumizi zaidi ya kuwashauri kununua simu kutokana na mahitaji ya matumizi yao.

Au umekurupuka kabla ya kusoma, si ajabu hata hizo brand kali huna, maana wenye nazo wamenielewa ndo maana hawajapanic kama wewe, narudia sina ushabiki na brand, OS, wala version ya simu yoyote ile kwa kuwa ninaponunua simu naangalia zaidi matumizi yangu {specs} na ni simu gani inaniwezesha kufanya hayo mahitaji yangu, nje na hapo ushamba wa brand za simu sina.

Hayo maswala ya magari kawaulize wenye nayo mi niulize mambo ya mwendokasi na daladala, ila hata hivyo sio kweli wanaondesha Range wote ni wajanja kuna washamba na mapunga kibao tu na kuna wanaodrive IST na pesa zao zilopo kwenye mzunguko, kama wangekuwa na huo ushamba wa brand wakiamua kuvunja kibubu ni Bugatti au Lamborghini.

ACHA USHAMBA.
 
Yaan kiufup boss kibunda yako ndo inaamua utumie simu Kali Kiasi gan,kiufup siyo swala os na kiufupi hakuna kitu iphone inaeza kufanya android isifanye hakipo labda uwe hujui kinafanyikaje,lakin kunavitu android inafanya iPhone hafanyi ,ikija swala la ecosystem android wapo vizur mno,NI application za kulipia zipo unapozungumzia promax kashike na Samsung s23 ultra.we umeendesha range likichichwa linakuwa likubwa unamuona mtu mwenye marcidiz Benz G class unamzarau we utakuwa mshamba Tu.
 

Ushamba ni kulazimisha kitu unachoona wewe kikali basi nawangine waone kikali pia unafikiri apple kufika hapa waliotea kama wewe unavyootea maisha [emoji23][emoji23][emoji23] alafu hakuna kampuni ya magari inaitwa marcidiz benz g class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni Mercedes Benz G Class kiufupi tu aliozoea iphone akihamia android lazima ataiona yaajabu na aliozoea android ataiona iphone ya ajabu kwasasa iphone kajipata vizuri watumiaji walikuwa wanalalamika battery zinawahi kuisha sasa shika 13 pro max mpaka 15 pro max zinatunza moto kuliko tecnoo
 
Na vijana wengi wa kike na kiume wametoboa majicho yao ili kupata simu za Apple.

The secret ingredient of noodles is secret ingredients of nothing
 

Acha kujificha huko ila kipimo chako cha akili nikidogo sana hivi vitu namshukuru mungu kwa hiki kidogo simu yangu ya kwanza ni samsung S4 2014 yapi ni samsung note 5 2016 sasa hivi nina iphone 15 pro max so eti sina ushabiki wa brand
 
Paragraph ya 1 ilifanya niachane na I4n.

 
Kizuri kinajiuza
Watu tumekua na kasumba ya kuiponda iphone ila tukipata pesa ndo simu ya kwanza kuiwaza na kuinunia
Lakin pia kwa upande wangu huwa naona ni ujinga sana kufananisha iphone (ios) na android sabu mfumo wa adroid unatumiwa zaid na makampuni ya simu zaid ya 100 dunian ila iphone ni moja tu dunian
Leo hii android inaboreshwa na kuonekana ni bora sababu ni makampuni meng wanaitumia lakin pia kutokana na kutumiwa na makampuni meng ya simu imechangia kuboresha
Leo hii kuna feature zinapatikana kwenye Samsung ila kwenye tecno hazipo na kuna feature zinapatikana kwenye one plus ila kwenye pixer phone hazipo kwaiyo kwa ujuml utaisifu android
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…