Sasa mzee kwanza umetumia vigezo gani kufananisha simu na gari?
Pili ni wapi nimewapangia watu matumizi zaidi ya kuwashauri kununua simu kutokana na mahitaji ya matumizi yao.
Au umekurupuka kabla ya kusoma, si ajabu hata hizo brand kali huna, maana wenye nazo wamenielewa ndo maana hawajapanic kama wewe, narudia sina ushabiki na brand, OS, wala version ya simu yoyote ile kwa kuwa ninaponunua simu naangalia zaidi matumizi yangu {specs} na ni simu gani inaniwezesha kufanya hayo mahitaji yangu, nje na hapo ushamba wa brand za simu sina.
Hayo maswala ya magari kawaulize wenye nayo mi niulize mambo ya mwendokasi na daladala, ila hata hivyo sio kweli wanaondesha Range wote ni wajanja kuna washamba na mapunga kibao tu na kuna wanaodrive IST na pesa zao zilopo kwenye mzunguko, kama wangekuwa na huo ushamba wa brand wakiamua kuvunja kibubu ni Bugatti au Lamborghini.
ACHA USHAMBA.