Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Kwamba wamiliki iphone hawapendi utoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kuna watu wana utoto kama watu wa iphones??
Mfano hapa badala ya kumuelekeza number raws inakaa wapi ktk keyboard umeishia kujishebedua tu!!!!iship ni kama ng'ombe.

Zipo dosari nyingi tu za msingi ambazo ni kama kutopata option ya kutuma sms moja kwa moja kwenye namba mpya uliyoiingiza ktk dialling screen mpaka uipige iingie kwenye history au uisave kwanza,huu ududu najua huujui sababu unachojua ni kujipiga picha chooni tu.

Lingekuwa tatizo ni la android kungekuwa na watu kibao wameshamuelekeza.
Umemaliza kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Well samsung wanaelekea huko
Kuanzia A23,33,53 mpaka alina S23 zote hazina headphone jack

Wenyewe apple walifanya hivyo wakiamini wanaweza expand iphone storege so no need for sd cards
No need for SD card wakati base storage ya iPhone 13 na 13 mini ni 64GB
iPhone 13 Pro Max, 14 Pro Max, 15 na 15 Plus zina base storage ya 128GB

iPhone waliondoa SD cards ili ukitaka storage kubwa uongeze hela ununue yenye storage kubwa zaidi. Hii ni biashara

Samsung, Google, Xiaomi, Oppo, Vivo na wenyewe wakaona hii ni idea nzuri kibiashara. Wakawa inspired na Apple, wakafuata mkumbo kwenye flagship zao ila wa kulaumiwa ni Apple
 
Mwamba wa kulaumiwa sio aliyefata mkumbo kweli bablai?

Hizo storage mtu anunue cha kumtosha depends na matumizi yake. Mm sijawahi kujaza 128GB.. sasa kuchukua kitu cha gb500 si nitakuwa nawachokoza Malaika wa zamu
 
Addict yangu ya iphone ni faceid kwa sasa , nimehamia simu nyingine lakini naona fingerprint ni mizinguo balaa.
 
Mwamba wa kulaumiwa sio aliyefata mkumbo kweli bablai?

Hizo storage mtu anunue cha kumtosha depends na matumizi yake. Mm sijawahi kujaza 128GB.. sasa kuchukua kitu cha gb500 si nitakuwa nawachokoza Malaika wa zamu
Wewe hujazi 128GB ila kuna wengine wanajaza 128GB na wanahitaji extra storage wakati budget zao zinawaruhusu kupata iPhone 13 yenye 128GB
As a result anapaswa ajichange aongeze hata dola 150 hivi apate 512GB
 
iCloud storage doesn’t help? Mpaka apate 256+?
 
Any tech-savvy person knows Android is better than the iPhone. Android is an open source OS you can't beat that.

Nilienda na s23 ultra yangu Samsung shop siku moja wao wenyewe hawakuamini Ile ni Samsung kwa jinsi nilivyo customize. You can't do that with an iPhone.

On Android unaweza badilisha launcher yako na setting zote ukatumia lawnchair, Nova etc etc. Mtu wa iPhone can't even begin to imagine that.

Features ambazo iPhone ni mpya android zipo toka miaka 10 iliyopita.

Kama mtu mvivu wa kufikiri unataka kila kitu ufanyiwe chukua iPhone. Kama you can't stand monolithic approach kama mimi Android will always be better.

That being said, I carry both phones plus their laptops but I prefer an Android.
 
Back
Top Bottom