Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

Na wewe nae ni mtu sasa unaetegemewa na wanafamilia wanapopata matizo huwa wanaambizana "nendeni kwa flan either atawapa mawazo ya kuwajenga" kwakweli koo zingine zinahasara.
Btw tusilumbane we baki na ujuaji wako wenye busara nzuri watakuja watoe ushauri wa busara


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo huwezi kudukua msg za Whatsapp tunga story nyingine.
Tatizo wabongo wengi siku hizi wamejikuta wanajua kila kitu. Mtu anaspy messages za mpenzi wake nae anajiita mdukuaji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo unakumbatia ujinga ulio wazi! haya endelea kaka mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga chini mkuu.
Ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni.Yaani uhuni wote huo bado una option ya kuendelea naye?
 
inasikitisha sana wadogo zetu wa kiume kizazi kipya kushindwa kuchukua maamuzi magumu. simple unaachana naye kwanini ujitese kwa umalaya wake. just unamwambia its over nahitaji kuwa alone nipange maisha yangu
 
Hapa umefunga mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wabongo wengi siku hizi wamejikuta wanajua kila kitu. Mtu anaspy messages za mpenzi wake nae anajiita mdukuaji [emoji23][emoji23][emoji23]

Kabisa mkuu. Watu hawajui tofauti ya kuchungulia msg kwenye simu ya mtu na kudukua sasa kila mtu ni mdukuaji
 
Mzee baba as long as binti ulimkuta sio bikira maana yake alishakuwa na aliokuwa nao awali...

Suala la wewe kuanza kuhaha kutaka kupima HIV ukidhani ni kwa sababu tu ya njemba wa Moro ni kutaka kujikondesha bure otherwise kama hiyo ilikuwa ni mara yako ya kwanza kulala naye...

Halafu unajua kama wewe ndio kidumu na mmoja wa hao uliowataja ndio mwenye umiliki haswa?

In addition,. Nataka after three weeks nikapime HIV/AIDs maana nilienda peku Kwa binti huyu nilipokua sijui kama katoka Kwa mshkaji mwingine isije ikawa kaniachia na matadhi.
 
Kwanza umetumia vigezo gani kusema ni girlfriend wako, maana anaonekana sio wako kabisa lakini wewe hutaki kukubali hilo.
Angekua ni wako asingekaa wiki nzima kwa jamaa mwingine na asingekua na mtu mwingine chuoni. Mwambie kisha mpige chini, kama huwezi endelea kuvumilia hali.
 
Don't mess up with my dick, if u need it I'm ready to **** ur unus.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio "mess up with" ni mess with
Na sio "unus"ni anus😅😅😅😅

Naona nakuongezea hasira tu mkuu. Pole sana ila hawa wanawake wa sikuhizi ni kwenda nao kwa akili sana. Pole kijana

Ushauri wangu PIGA CHINI HAKUFAI
 
Write your reply...ukimchunguza,kuku sana huwezi kula nyama yake...kama una,malengo nae tafadhali uninstall hyo applications ila kama huna muache kimya kimya utakuja,kufa bure kwa MTU ambae sio ndugu yako...lakn najiuliza kimya kimy....iv we hapo ulipo hauli papuchi ya wanachuo wenzio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…