Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Siku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma
Iko hivi mi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu mwaka Jana mwaka huu wazazi wakaamua wakamilishe taratibu zote ikabaki ndoa tu sasa katika maisha na mwenzangu wajibu wake ndani umekua mdogo maendeleo hakuna hafanyi
Nimeenda kwao likizo nimechoka mwili na roho nimepoteza ndoto za kua na maisha mazuri kabisa jamaa ukoo mzima iwe shangazi, mjomba,Dada zake hata walioolewa yeye ndio anawahudumia
Nimemuonea huruma maana sio ombi nilazima familia ile dada zake wavae aanunulie nguo kila siku ikifika mwisho wa mwezi hela zote zinaenda kwao ikifika tarehe 10 mshahara umeisha nilikua nachukia namuona hana akili za maendeleo lakini kwa hali nilivyoiona hata yeye hana jinsi
Jamani nishauri nifanyeje tue na maendeleo na sisi? sababu kipato changu ni lak 3 binafsi mwenzangu yeye anapokea mil 1.4_5 lakini majukumu ni mengi kwao hawezi kufanya chochote
Nifanyeje jamani?
Mashamba yapo majembe yapo ikifika masika anatoa hela wanalimiwa wenyewe tangu mtoto wao apate kazi wanaweka wafanyakazi tu kuwalimiaMaisha yako hivi ukiwa unamsaidia mtu siku zote usiwe jibu LA matatizo yake Bali onyesha njia ya kutoka katika tatizo hapa namaanisha hivi kama kwenu wamekosa chakula usipende kununua chakula maana baada ya mda kitaisha.
Bali we nunua shamba na majembe wawe wanjilimia na kupata chakula maana shamba halitoisha. Haya mambo hayaitaji kusumbua sana akili.
Kuna kaka zake 2 wanakazi mmoja ni mwalimu mwingine ni hua anafanya biashara ya kusafirisha ng'ombe ila wanafanya maisha yao hawahangaiki na ndugu ila wakwangu na hisi anamoyo mzuri sanaMbinu peekee hapo ni yy mumeo kutambua kwamba hata awasaidie vp ndugu zake shida hazito isha.
Tayar anafamilia asipo kua makini uzee utamkuta hajafanya chochotee.
Chamuhimu awasaidie nduguze chochote kiwe kinawaingizia kipato kama vile kihosk, au kijigenge, then aendelee n maisha Yake.
Ukisaidia kupita uwezo wako ni Dhambi.
Jamaa alisomeshwa na ukoo au? Hebu muhoji kuanzia hapo. Maana kuna wengine wanakuwa victimized kwa sababu tu walichangiwa na ukoo hivyo akifanikiwa inabidi arudishe fadhila zote kwenye ukoo. Hebu mdadisi kuanzia hapo kwanza. Ukipata majibu njoo tena tuangalie the way forward.Siku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma