Siku zote nimekua nikilalamika hum mme/mwenzangu kutohufia nyumban na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma
Iko hivi mi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu mwaka Jana,,,,,
Mwaka huu wazazi wakaamua wakamilishe taratibu zote ikabaki ndoa tu
Sasa katika maisha na mwenzangu wajibu wake ndan umekua mdogo maendeleo hakuna hafanyi
Nimeenda kwao likizo nimechoka mwili na roho nimepoteza ndoto za kua na maisha mazuri kabisa
Jamaa ukoo mzima iwe shangazi, mjomba,Dada zake hata walioolewa yeye ndio anawahudumia
Nimemuonea huruma maana sio ombi nilazima,,
Familia ile,,,dada zake wavae aanunulie nguo kila siku
Ikifika mwisho wa mwez hela zote zinaenda kwao ikifika tarehe 10 mshahara umeisha,,,,,
Nilikua nachukia namuona hana akil za maendeleo lkn kwa hali nilivyoiona hata yeye hana jinsi
Jmn nishaur nifanyeje tue na maendeleo na sisi? sababu kipato changu ni lak 3 binafsi mwenzangu yeye anapokea mil 1.4_5 lkn majukum ni mengi kwao hawez kufanya chochote
Nifanyeje jmn?