Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha tunayajua majizi yote ya ccm, iko siku yatahamia magereza maana baada ya Lisa Chadema kushinda, tuna kazi sana kuyakimbiza majizi.Kutoka kwa mtanzania asiyejitambua
Shauri yako.Hakuna laana ya ivo,babu kama wewe unapigwa makofi na laana inadunda.
Jidanganye tu. Magufuli ndo president baba.Hakuna anayempenda hapo wameenda kumshangaa mtu anayewatesa watu kwa kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mwingi kuwabambikia kodi za TRA wafanyabiashara wakubwa kuwapa kesi za uhujumu uchumi.
Endelea na mtizamo wa kipumbavuWanashangaa Rais wa wanyonge anayetumia msafara wa magari 100 aliyoyanunua kwa pesa ya vitambulisho vya Machinga.
Tanzania sio tanga pekee, kuna mikoa mingne kibao hatapata kura zote so hoja yako ni hewaTanga CCM itazoa kura zote .
UFIPA wanalinganisha na nyomi ZAO za kubana picha. Video clips zao hazioneshi mawingu. Halafu background zinawekewa vumbi. Hahahahaha. Hawa jamaa aiseeWakuu,
Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli..
Hawawezi kupotea, jf iliwahi kufungwa kwasababu ya sheria mpya za Magufuli, watu walihamia Kenya Talk.Baada ya tar 28 watu watapoteana humu we subiri!
Unaona kauli za kibaguzi kama hizi ndio zinawapunguzia kura upinzani.
Watch out.
Let's meet in October 28.K o
Mkoa wa Tanga na dodoma ngome ya ccm tunjua .na ndio mikoa masikini tanzaniaUnaona kauli za kibaguzi kama hizi ndio zinawapunguzia kura upinzani.
Watch out.
Let's meet in October 28.
Korogwe kula kijiji kilipewa mil 50Anapendwa na nani?
Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?
Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
Kwa hiyo unaemshabikia lisu na akitua kwenye mkutano anakutibulia vumbi tukuitaje,nyani haoni kundu lake.hata hivyo hizo changamoto za dawa,barabara mbovu hata aje huyo Lissu haziwez kwisha kwa mara moja ye amekuwa nani, maana hadi aje kuseto na kuweka mfumo ukute kitukuu chako ndo kitateseka ama kufaidi. Mnabwabwaja tu.Endeleeni kushabikia wanaume wenzenu tu, maana majumba mazuri wsnajengeana wao huku mnaokesha kuwasifia mkienda hospitali mnalia dawa Hakuna, mara barabara mbovu, nauli imepanda, Ada kubwa n.k
Kwahiyo kwa sababu ya umaskini ndio uwabague?Mkoa wa Tanga na dodoma ngome ya ccm tunjua .na ndio mikoa masikini tanzania
Familia yake tu ilimshinda, tutampaje nchiUkiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Imewabagua ccm kwa kutowaletea maendeleo sio mimi sheheKwa hio kwa sababu ya umaskini ndio uwabague?
UPDATESWakuu,
Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli.
Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa kiongozi anayeshughulika na matatizo ya watu, atapendwa na kuheshimiwa.
Hongera sana Magufuli na karibu Tanga
Amani
View attachment 1605139
Video (Dkt. Magufuli akiwa Mkata) 👇🏾
View attachment 1605611