Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Amani Msumari huyo ndio rais John Pombe Magufuli
Tarehe 28 tukamilishe jambo letu
Jana Segera pale... This time around lazima mvimbe midomoView attachment 1605856
20201020_111337.jpg
 
Mwanzoni nilijua propaganda ccm kubeba watu kwenda mikutanoni lakini leo nimeshuhudia live coasta zikikusanya watu kuwapeleka bagamoyo saa 11 asbh nimeshangaa sana ,usafiri ulikua shida mailimoja sababu coaster nyingi zimepeleka watu bagamoyo
Sasa ulitakaje? Wapande daladala? Ule si ulikuwa mkutano wa mkoa mzima wa Pwani?
 
Sisi wana Tanga tutamchagua raisi mwadilifu, sio yule jamaa mwongomwongo ambaye tayari ameshaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu.
Nasikia ana kadi ya kupigia kura viongozi wa ughaibuni, ya hapa hana kwahiyo hawezi kujipigia kuwa wala kuchagua mbunge na diwani. Ni maajabu ya Firauni
 
Anapendwa na nani?

Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?

Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
Mbona kama unafoka?

JPM kagusa kila kona ya nchi.
 
Wapinzani wengi watapiga kura kwa jazba kupelekea kuharibu kura nyingi jambo litalompa magu kura za kishindo na kuibuka kidedea wanasemaga hasira hasara[emoji38][emoji38]
 
Kabisa mama D. Yani unajua sio Kama naongea ushabiki, aisee hilo nyomi sijapatapa ona. Kwa wale makamanda wa Lissu wanaweza kupiga simu waulize hali ilikuwaje. Kumbuka Leo mapokezi tuu mkutano n kesho
Ahaa, kumbe leo mkutano haupo, bado wanasomba washiriki toka vijijini kuja kujaza uwanja, na wasanii hawafika au?
 
Kama kawaida shule zimefungwa ili watoto wakose masomo
 
Amani Msumari huyo ndio rais John Pombe Magufuli
Tarehe 28 tukamilishe jambo letu
Kila nikimuona Magufuli huwa nasema Mungu yupo nimetoka Kijiji ambacho kilitawaliwa na Chadema miaka 25 Huwezi amini umeme hatuujui ila 2015 Tulipokubali kumweka mwenyekiti wa wakijiji wa CCM umeme umetapakaa ajira imezagaa. 2013 Nlienda Sweden nilipata tabu kupata Visa card Ila 2016 nilienda Germany mambo ni murua kabisa unapokelewa ubalozini Kama mfalme Corona baba wa watu akaamua kufunga Ili watu wake wapone huyo Lisu alikuwa wap? Anafanya Nini? Umaskini wa wakijana wakitanzania unaletwa na kutokujitambua kwake HAKUNA SERIKALIII INAYO WAWEKEA VIJANA HELA MFUKONI
 
Back
Top Bottom