Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Wakuu,

Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli.

Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa kiongozi anayeshughulika na matatizo ya watu, atapendwa na kuheshimiwa.

UPDATES

20/10/2020 0805

Uwanja umefurika watu na babu Seya anatumbuiza hapa.

Kuingia uwanjani ni lazima unawishwe na vitakasa mikono (sanitizer) na upimwe joto la mwili. CCM inajali na inachukua hatua zote za kiafya kama inavyoshauriwa na wataalamu wa afya

0830

Helikopta ya CCM inaamsha popo uwanjani hapa

0835

Humphrey Polepole anaongea

0850

Wagommbea Ubunge wanaeleza Utekelezaji wa ilani ya CCM, kumuombea kura Magufuli, wait wenyewe na madiwani wa CCM

0950

Magufuli anawasili uwanjani

Hongera sana Magufuli na karibu Tanga

Amani

View attachment 1605139

Video (Dkt. Magufuli akiwa Mkata) 👇🏾

View attachment 1605611
Bavicha wakiangalia tuwakumbushe hapa hamna msanii hata mmoja
 
. Kila nikimwona Magufuli huwa nasema mungu yupo nimetoka Kijiji ambacho kilitawaliwa na Chadema miaka 25 Huwezi amini umeme hatuujui ila 2015 Tulipokubali kumweka mwenyekiti wa wakijiji wa CCM umeme umetapakaa ajira imezagaa 2013 Nlienda Sweden nlipata tabu kupata Visa card Ila 2016 Nlienda Germany mambo Ni murua kabisa unapokelewa ubalozini Kama mfalme Corona baba wa watu akaamua kufunga Ili watu wake wapone huyo Lisu alikuwa wap? Anafanya Nini? Umaskini wa wakijana wakitanzania unaletwa na kutokujitambua kwake HAKUNA SERIKALIII INAYO WAWEKEA VIJANA HELA MFUKONI
Samwel Jr 😍
Umesema kweli, hakuna maisha rahisi popote. Hali ngumu ila ni kupambana tuu kwa maendeleo yetu na nchi yetu.
Suluhu sio kuweka madini rehani.... big NO
 
Msanii gani ameambatana nae?
Malori yamesomba watu au wamekuja kama wanavyomfuata Tundu Antipas Lissu.
 
Kila sehemu anakoenda Magufuli wanafunzi hawaendi shuleni, hii ni asubuhi Tanga hiyo zoom picha hiyo
122016603_1927115830763232_6803668686475323651_n.jpg
 
Kwani ushabiki unaenda na umri babu?
Ndiyo, maana akili za wazee wengi zimedumaa na wengi wana dementia na Parkinson wana buruzwa tu.

Kijana una nguvu na ubongo unafanya kazi kwanani usione ujinga wa ccm wazi wazi .

Mfano, Katibu mkuu wizara ya maji Kitila Mkumbo hakuleta maji ubungo na aliambiwa ahakikishe anasambaza maji Dar es salaam nzima, kagundua ulikuwa uongo na hakuna faida yake, na haiwezekani akaacha ukatibu mkuu wa wizara ya maji akaenda kugombea ubunge.

Sasa naye anatuahidi kutuletea maji akiwa mbunge ubungo, hilo linakuingia akilini kijana?!

Alikuwa na mamlaka ya kuleta maji hakuleta, sasa atayatoa wapi akiwa mbunge?!

Huoni ujinga wa ccm huo?! Na hilo moja tu.
Mtu anashinda kura za maoni za kugombea ubunge, anakatwa halafu anaambiwa atateuliwa, sasa huyo aliyepewa nafasi yako si ndiye anapendwa na huyo mteuzi kuliko wewe, sasa kwanini asikuache ugombee na yule ateuliwe?!

Vijana wa ccm wana mtindio kama sio kurogwa.
 
. mama D ❤️ Kabisa tumpe kura magu atazitendea haki naimani kabisa
Tukiacha ubinafsi na kuifikiria tanzania ya vizazi vinavyokuja tutaona John Pombe Joseph Magufuli alivyo zawadi kubwa sana kwa nchi yetu. Mabadiliko yana maumivu yake na kila mtanzania anayapitia pamoja na yeye John mwenyewe

Tumshukuru Mungu kwamba 2015 tulimwomba makanisani na misikitini atupatie kiongozi jasiri na mwenye maamuzi magumu ya kutuhamisha toka tulipokua na Mungu akatenda😍😍
 
Wapinzani wengi watapiga kura kwa jazba kupelekea kuharibu kura nyingi jambo litalompa magu kura za kishindo na kuibuka kidedea wanasemaga hasira hasara[emoji38][emoji38]
Jazba yangu ndio inifanye nisilione jina la Lissu? Au wabunge na madiwani wa CHADEMA? Aisee umepotoka...Tena umepotoka Sana...

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Huyo rais wa nchi wewe acha ubwege huyo sio mcheza regae kama chiba wako. Huyo akitimba mahali itifaki inazingatiwa acha madharau.
Kwahiyo itifaki NI kuwafanya watoto wetu wasisome?hii siku waliopoteza mtairudisha lini?nyinyi ndio mnaompumbaza na kumwaminisha anapendwa....KUMBE MNALAZIMISHA....

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tukiacha ubinafsi na kuifikiria tanzania ya vizazi vinavyokuja tutaona John Pombe Joseph Magufuli alivyo zawadi kubwa sana kwa nchi yetu. Mabadiliko yana maumivu yake na kila mtanzania anayapitia pamoja na yeye John mwenyewe

Tumshukuru Mungu kwamba 2015 tulimwomba makanisani na misikitini atupatie kiongozi jasiri na mwenye maamuzi magumu ya kutuhamisha toka tulipokua na Mungu akatenda😍😍
Kabisa kabisa kabisa miaka mitano tena
 
. Kila nikimwona Magufuli huwa nasema mungu yupo nimetoka Kijiji ambacho kilitawaliwa na Chadema miaka 25 Huwezi amini umeme hatuujui ila 2015 Tulipokubali kumweka mwenyekiti wa wakijiji wa CCM umeme umetapakaa ajira imezagaa 2013 Nlienda Sweden nlipata tabu kupata Visa card Ila 2016 Nlienda Germany mambo Ni murua kabisa unapokelewa ubalozini Kama mfalme Corona baba wa watu akaamua kufunga Ili watu wake wapone huyo Lisu alikuwa wap? Anafanya Nini? Umaskini wa wakijana wakitanzania unaletwa na kutokujitambua kwake HAKUNA SERIKALIII INAYO WAWEKEA VIJANA HELA MFUKONI
Kitaje hicho Kijiji kilichoongozwa na chadema 25years....
Pili, VIPI miaka yote hiyo Lissu ndio alikuwa RAIS? Au serikali ilikuwa ya CHADEMA au ya CCM? Au ndio wewe unayeshangaa pombe hajaleta ajira na pombe huyohuyo anaomba kura ili atupe ajira?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kitaje hicho Kijiji kilichoongozwa na chadema 25years....
Pili,VIPI miaka yote hiyo lissu ndio alikuwa RAISI?au serikali ilikuwa ya cdm au ya ccm?au ndio wewe unayeshangaa pombe hajaleta ajira na pombe huyohuyo anaomba kura ili atupe ajira?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hakuna kizuri kisicho kasoro ila pale kasoro zinapokuaga dhaifu kuliko mazuri maisha ni bora
 
Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Hali ni ngumu miaka mitano, wananchi wanataka liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom