Bikra unayo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 638
- 2,312
Story zako huwa ni za ajabu sana kama ni kweli.
Mkuu unalala sangapi? Ma mtu unamuhudumia sangapi?😁Sio muda unadata mkuu. 😁
naomba unifundishe ugangaHallucinations
Nimeacha ndugu yangu labda nikufundishe wokovu💪🏿naomba unifundishe uganga
Mkuu unalala sangapi? Ma mtu unamuhudumia sangapi?😁
Hujajibu swali langu, eneweii pole sana mkuu! Jitahidi kula mabilinganya!Nina sleeping disorder, nalala masaa machache sana. 😁
nilikunywa kidogo kama kawaida ambavyo nakunywa kilasikuUlirudi uko mtungi?
Hujajibu swali langu, eneweii pole sana mkuu! Jitahidi kula mabilinganya!
NdioBilinganya zinaweza nisaidia sleeping disorder?
Wine DryBilinganya zinaweza nisaidia sleeping disorder?
Dishi lako linahitaji kuufixHii ilitokea leo usiku ambaop nimechelewa kutoka kwenye mihangaiko yangu ( hua naingia mihangaikoni )
niliingia magetoni kama kawaida, na kila kitu kilikuwa kawaida kabisa. nilikuwa nimechoka sana na nataka kulala tuu. lakini nilishapanga leo ni ratiba ya kuoga baada ya kutoiga kwa siku kadhaa kwaiyo kabla sijazima taa, nikaenda bafuni.
njia ya kwenda bafunin kuna kioo nikakifikia nikasimama.
Nikakiangalia kwa sekunde chache.
Kila kitu kilikuwa kawaida.
Nikainua mkono wangu wa kulia… kuangalia ujazo wa misuli na kioo kikarudisha vile vile.
Lakini baada ya sekunde kama tano hivi, kitu kilitokea.
Nilinyoosha mkono wangu kushika bomba la maji ya kunawa uso
lakini kwenye kioo, mkono wangu haukusogea.
Ulibaki pale pale.
Nilisimama ghafla.
Nikaangalia vizuri.
Mimi niko nje ya kioo, ninafungua bomba la kunawa uso
Lakini kile kilichokuwa ndani ya kioo…
kiko tu kinaniangalia.
Hakifanyi nilichofanya.
Nikajaribu tena.
Nikainua mkono polepole…
ndani ya kioo uliinuka, lakini kwa kuchelewa kidogo.
yaani sio uchelewaji unaoutarajia kwenye kioo.
Ni kama vile kulikuwa na mtu anani copy….
Hapo ndipo moyo wangu ukaanza kupiga haraka.
Nilisogea karibu zaidi na kioo.
Kile kilichokuwa ndani ya kioo kilisogea pia…
lakini tena kikachelewa sekunde chache.
Halafu kikafanya kitu ambacho sikufanya.
Nikaganda kwanza.
Nikajaribu kuangalia kinachoendelea nikaangalia kama ni tv imewekwa pale au la nikaona ni kioo kabisa
ila pichaa iliyokuwa ndani ya kioo ilikuwa inanitazama kama picha.
nikajaribu kupunga mkono wangu haraka.
Safari hii, kilijaribu kunifuatisha… lakini bado kilikosea kidogo.
Mkono wake ulienda upande tofauti kwa sekunde moja kabla ya kurudi sawa.
Hapo ndipo nilijua kabisa
kua kilichokuwa ndani ya kioo hakikuwa kina reflect kikawaida.
Kilikuwa kinajaribu kunfatiliza nachofanya.
ila siikuweza kuendelea kukaa pale.
Nilirudi nyuma haraka na kutoka bafuni.
Lakini kabla sijazima taa…
nilirudi kuangalia tena kile kioo nikakuta bado ile picha imeganda inaniangalia. japo mimi nilikuwa tayari nimeshaondoka mbele ya kioo.
😂😂😂Dishi lako linahitaji kuufix
Wine Dry