Nilichokiona kwenye kioo mida hii saa sita kasoro usiku

Nilichokiona kwenye kioo mida hii saa sita kasoro usiku

Mkiambiwa muokoke, mnakataa, ona sasa shetani anavyowatesa kwa kuwaletea roho ya woga.
Ukiokoka, shetani hata akijichora sura yake nyumba nzima, hubabaiki. Unamkemea tu kwa Jina la Yesu, anakimbia kama mbwa koko.
Tubu dhambi zako, mwamini Yesu sasa na umpokee kwa imani ndani ya moyo wako awe Bwana na Mwokozi wako, kisha mkemee shetani atoke hapo, hutaona tena mapichapicha hayo ya ajabu.
Uokovu wa ukweli ni kuachana na ujinga ujinga na si vingine.
 
WhatsApp Image 2026-03-17 at 08.44.04.jpeg
 
Back
Top Bottom