Nilichokiona kwenye kioo mida hii saa sita kasoro usiku

Hayo ni matokeo ya kuwasikiliza na kuyaweka akilini maneno ya milengo ya Mshana jr. Ukilala kioo kimekugeukia sijui what what?. Kuna kipindi mimi niliyazingatia hayo. Nikiwa peke yangu usiku kuko kimya kbs unaishtukia mpaka kupumua kwako. Ukipumua kwa nguvu unahisi kama sio wewe. Hayo yasikilize pita kushoto.

Hapo wewe ni picha uliotengeza muda mrefu kuhusiana na kioo
 
Dishi lako linahitaji kuufix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…