Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

Tunalia na Nyalandu wetu kutukimbia. Kwa hiyo alikuja kutuchungulia tuu halafu aondoke? Yaani kukosa urais imekuwa nongwa.
 
Magufuli alikuwa akitolea wanawake maneno wazi ya udhalilishaji na kibaguzi tulikaa kimya ...hivyo tukubali matokeo ya wanawake nao kujiona saasa ni muda wetu wa kuonyesha hisia zetu..

Tukubali na kufanya maridhiano
LOOOoh, siku zote, na ni siku nyingi hasa humu JF, niliichukulia ID hii kuwa ni ya kiume!

Hongera mkuu, maanake ni kati ya ID nilizoziheshimu hapa JF tangu nikusome.
 
Yaani wewe kila upuuzi kuanzia conspiracy theories zako za kupumbavu juu ya Corona unawasingizia Wazungu, trash.
Nimeshangaa sana eti NGOs za magharibi wakati kura wamepiga CCM wenyewe!! Na huyo mama aliteuliwa kuwa mgombea mwenza na CCM wenyewe tena kwa vigeregere kibao!!

Unajua Jiwe alituharibu sana kama taifa yaani sahivi mpka kimbunga wanadai ni mabeberu wameleta!!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu limbukeni liwe Rais
 
Mkuu hakuna mwanamme atakaye-ona hiyo hali kwamba ni ya kawaida!Wataburuzwa tu,but deep in their hearts they know it is wrong.Unajua kitakachotokea,ni disappearance of the family as we know it,kama Ulaya na Marekani.That is the end game.
 
Kwani wanawake hawafai kuongoza? Kama huridhiki kakate rufaa.Kwanza tulichelewa Sana kuwa na viongozi wanawake.Wanawake wengi ni waadilifu kazinik
Ila yule mke wa kile kimbunga Jobo ambae ni DED amewaangusha wanawake kwa kupiga mamilioni. Hiyo inasomeka kwa undani kwenye ripoti ya CAG.
Kwa nukta hiyo sijui kama bunge litaruhusiwa kuzama zaidi kuijadili ripoti hiyo. Ma great thinkers wamenielewa ambao bado basi walale unono
 
Tunalia na Nyalandu wetu kutukimbia. Kwa hiyo alikuja kutuchungulia tuu halafu aondoke? Yaani kukosa urais imekuwa nongwa.
Nyalandu alikua CCM na amerudi CCM it's not a loss because it was forecasted months ago!! Of course Lissu was favored over him therefore journey back to CCM became imminent!!

Had a hardcore opposition such as Heche or Wenje, and the likes defected to CCM... That would've sent shockwaves all over ufipa.

Being optimistic I suppose it's a wonderful step that CHADEMA composes of only hardcore, battle-tested, comrades who have no attachments with the green party!!

Filtration process is a positive move for all democracy lovers, including YOU.
 
Are serious kwamba huoni connection ya kilichotokea Dodoma leo na NGOs.Basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuu.
 
Mkuu hakuna mwanamme atakaye-ona hiyo hali kwamba ni ya kawaida!Wataburuzwa tu,but deep in their minds they know it is wrong.Unajua kitakachotoe,ni disappearance of the family as we know it,kama Ulaya na Marekani.That is the end game.
Kwani JPM hakujua alipomteua Samia kwamba yeye ndio mrithi ikitokea amefariki? Hvi unajua Ndugai akifariki Dr.Tulia anakuwa spika?

Acheni conspirancy.....maadam mnaojiita wazalendo ndio mliteua wanawake kwa ajili ya maigizo kupata kura then swallow it when it backfires msisingizie wazungu. Unless unakiri JPM naye alitumika na mabeberu kum endorse Tulia na Samia
 
Are serious kwamba huoni connection ya kilichotokea Dodoma leo na NGOs.Basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuu.
Basi JPM alitumika na mabeberu maana alipendekeza wanawake kuwa second in line kwenye mhimili miwili ya dola.

Mahakama pekee ndio itakua chini ya mwanaume!!
 

Wanaume badala ya kulima walizoea rushwa sasa ni pagumu
 
Mkuu hakuna mwanamme atakaye-ona hiyo hali kwamba ni ya kawaida!Wataburuzwa tu,but deep in their minds they know it is wrong.Unajua kitakachotoe,ni disappearance of the family as we know it,kama Ulaya na Marekani.That is the end game.
Ninakuelewa sana mkuu, tokea mwanzo ulipoweka hii mada.

Sasa niambie, utalifungiaje ndani ya chupa, jini lililokwishaonja utamu wa kuwa huru?

Nimekupa tu huo mfano wa wamarekani maksudi, kwa sababu hiyo ni 'textbook case' ya huko tunakokwenda..., hatuwezi kamwe kurudi nyuma. Hata Saud nao sidhani kwamba watamudu kuikabili hii hali. Watakachoweza ni kufifisha spidi yake tu basi.
 
Reactions: Ame
Unajua Zitto,mimi huwa namuona mtu anaye lable mambo kuwa ni conspiracies kuwa ni mind controlled, indoctrinated and enslaved by the West or if you want the NWO,kwa kuwa watu wa NWO au agents wao ndio wanao-lable mambo kwamba ni conspiracies ili wafiche uovu wao.Tania ya kuita mambo conspiracies ni characteristic moja wapo ya watu kama hao,zipo nyingi.
 
Yaani NEC ipo na wajumbe 160+ wachaguliwe wawili tu iwe kelele!? Huu ni ujinga wa kutumia akili. Kati ya wajumbe 160+ wanawake wapo wangapi!? Kwenye CC wanawake wako wangapi!? Hebu tuache mihemko yapo mengi ya kujadili.
 
Mimi sijamuelewa mtoa mada!
Mwanamke ni mwanamke tu!hata awe anapiga ngumi Kama jet Lee!!
Mwanaume kulalama Kama mwanamke ujitafakari.
 
Ndugai ali-joke pale watu wakajichekesha ila ujumbe umefika.
 
Yaani wajumbe wawili tu wakike wamechaguliwa imekuwa kelele!!!? Huu sasa ni upuuzi. Wajumbe
Mzee hao wajumbe wawili kati ya wajumbe 160+ wamekuuma sana. Je, kwenye wajumbe wa NEC 160+ wanawake wapo wangapi!?
Hivi hujui kwenye CC kuna wanawake watatu tu kati ya wajumbe 26+!?
Hebu tuache ulimbukeni mzee.
 
Zamani darasa la saba kwenda kidato cha kwanza ilikuwa ni kuchaguliwa sio kufaulu. Ndio hizi kura za CCM wamechaguliwa.

Mh Ndungai juzi kati kasema kauli iliyo fanya ni fikiri, kauli hii, Ninaye weza kufanyakazi naye. Wanaume waende wakatimize ule unabii wa Mwl Nyerere. Upinzani wa kweli Tanzania utatoka ndani ya CCM.
 
Be more diagnostic and exploratory mkuu.Mimi siangalii tukio moja,naangalia mtiririko wa matukio na kuanisha na taarifa mbali mbali .
 

Mathagho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…