Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Tunalia na Nyalandu wetu kutukimbia. Kwa hiyo alikuja kutuchungulia tuu halafu aondoke? Yaani kukosa urais imekuwa nongwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LOOOoh, siku zote, na ni siku nyingi hasa humu JF, niliichukulia ID hii kuwa ni ya kiume!Magufuli alikuwa akitolea wanawake maneno wazi ya udhalilishaji na kibaguzi tulikaa kimya ...hivyo tukubali matokeo ya wanawake nao kujiona saasa ni muda wetu wa kuonyesha hisia zetu..
Tukubali na kufanya maridhiano
Nimeshangaa sana eti NGOs za magharibi wakati kura wamepiga CCM wenyewe!! Na huyo mama aliteuliwa kuwa mgombea mwenza na CCM wenyewe tena kwa vigeregere kibao!!Yaani wewe kila upuuzi kuanzia conspiracy theories zako za kupumbavu juu ya Corona unawasingizia Wazungu, trash.
iwake moto kwa sababu ya wanawake kuwa viongozi? upuuzi mtupu!!Asee ipo siku nchi hii itawaka moto.
Mkuu hakuna mwanamme atakaye-ona hiyo hali kwamba ni ya kawaida!Wataburuzwa tu,but deep in their hearts they know it is wrong.Unajua kitakachotokea,ni disappearance of the family as we know it,kama Ulaya na Marekani.That is the end game.Na hiyo "Knowledge is Power" - ndiyo hasa itakayosambaratisha kabisa mfumo uliokuwepo wa "male domination".
Mkuu, lisiloweza kupingika ni hilo uliloliweka sawa kabisa, la kuwa na uwezo. Acha mwenye uwezo aongoze.
Lakini kwa hatua hizi za mwanzo za kujiona wanajikomboa, tutayaona mengi yasiyopendeza kutoka upande huo.
Lakini naamini baada ya muda patakuwepo na uzoefu wa hali mpya pande zote mbili, na mambo yatakuwa ya kawaida baada ya hapo.
Hebu waangalie jamaa zetu waliotangulia katika mambo kama hayo, kwa mfano Wamarekani wanavyoichukulia hali hiyo!
Ni swala la muda tu nasi tunaelekea huko kwa spidi yetu wenyewe.
Ila yule mke wa kile kimbunga Jobo ambae ni DED amewaangusha wanawake kwa kupiga mamilioni. Hiyo inasomeka kwa undani kwenye ripoti ya CAG.Kwani wanawake hawafai kuongoza? Kama huridhiki kakate rufaa.Kwanza tulichelewa Sana kuwa na viongozi wanawake.Wanawake wengi ni waadilifu kazinik
Nyalandu alikua CCM na amerudi CCM it's not a loss because it was forecasted months ago!! Of course Lissu was favored over him therefore journey back to CCM became imminent!!Tunalia na Nyalandu wetu kutukimbia. Kwa hiyo alikuja kutuchungulia tuu halafu aondoke? Yaani kukosa urais imekuwa nongwa.
Are serious kwamba huoni connection ya kilichotokea Dodoma leo na NGOs.Basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuu.Nimeshangaa sana eti NGOs za magharibi wakati kura wamepiga CCM wenyewe!! Na huyo mama aliteuliwa kuwa mgombea mwenza na CCM wenyewe tena kwa vigeregere kibao!!
Unajua Jiwe alituharibu sana kama taifa yaani sahivi mpka kimbunga wanadai ni mabeberu wameleta!!
Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu limbukeni liwe Rais
Kwani JPM hakujua alipomteua Samia kwamba yeye ndio mrithi ikitokea amefariki? Hvi unajua Ndugai akifariki Dr.Tulia anakuwa spika?Mkuu hakuna mwanamme atakaye-ona hiyo hali kwamba ni ya kawaida!Wataburuzwa tu,but deep in their minds they know it is wrong.Unajua kitakachotoe,ni disappearance of the family as we know it,kama Ulaya na Marekani.That is the end game.
Basi JPM alitumika na mabeberu maana alipendekeza wanawake kuwa second in line kwenye mhimili miwili ya dola.Are serious kwamba huoni connection ya kilichotokea Dodoma leo na NGOs.Basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuu.
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"
Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania ikifitinika, nimeona mafarakano ya wazi kati ya Wanawake na Wanaume, mafarakano ambayo si ya afya kwa taifa letu. Nilitegemea kwamba ujio wa Rais mwanamke, Mama Samia Suluhu, ungeleta umoja, badala yake naona mbegu za minyukano zikipandwa. Ni kama wenzetu wanawake walikuwa wanasubiri nafasi hii, ili waendeleze minyukano zaidi, ambayo kiukweli tayari ilikuwepo.
Sijui kama it's mere coincidence kwamba katika wagombea sita wa kujaza nafasi za NEC, waliochaguliwa kujaza nafasi hiyo, wote ni wanawake! Mimi naamini sio coincidence, bali ndio minyukano kati ya Wanaume na Wanawake imeanza. Maneno aliyotamka Mama Kabaka Mwenyekiti wa UWT, wakati anatoa hotuba ya kumtunuku Rais zawadi,yanathibitisha hili.
Upo ushahidi wa kutosha, kwamba minyukano hii inahamasishwa na kupewa financial support and backing na nguvu zilizo-jificha za nchi za magharibi through NGOs, vyombo vya habari, mitandao, internet na hata wakati mwingine makampuni ya simu, ili kuvunja familia na ustawi wa jamii yetu kwa maslahi mapana ya nchi hizo.Na kama hatutakuwa makini kama taifa,baada ya miaka kumi ijayo, familia zetu na jamii vitakuwa vime-sambaratika kabisa.
Mimi sina shaka yeyote kwamba kuchaguliwa wanawake tupu kwenye kinyang'anyiro hicho kumewezekana kwa kuwa wajumbe wengi waliohudhuria ni Wanawake. Lakini je, kuchaguana kijinsia kuna tija kwa taifa letu? Ukweli ni kwamba hapana, kwa kuwa hii ita-compromize kwa kiwango kikubwa weledi na hii ni hatari kwa wa ustawi wa Taifa letu.
Lipo wazo la kugawana madaraka 50/50. Kwa nini kuwe na target ndilo jambo linalokera. Linakera kwa kuwa likely-hood ya ku-compromize weledi ili kua-chieve target is obvious. Hili nimeliona sehemu nyingi sana. Infact hata leo kule Dodoma jambo hili limejionyesha wazi. Who knows, labda katika wale wagombea wanaume walio-achwa, some are more competent than the ladies elected.
Sina tatizo na wanawake kupewa responsible positions, naomba nieleweke, nina tatizo na ku-compromize professionalism at the expence of gender equality. Our main target should be professionalism, not gender equality.
Nafurahi kwamba wapo wanawake wanao-jitambua, ambao hawataki kupewa nafasi yeyote as a reward, wanapenda kupewa nafasi kwa kuwa wanastahili. Ningependa huu ndio uwe msimamo wa wanawake wote. Tuache professionalism iwe ndio kigezo pekee cha mtu kupata nafasi yeyote anywhere. Minyukano hii inayo-endelea sasa kwa sababu ya kuganga njaa, sio healthy sana, tutangulize mbele kwanza maslahi ya Taifa letu.
Ili uweze kupata.picha kamili ya kile kilichotokea Dodoma leo na kwa nini kimetokea,tafadhali fuata link ifuatayo.Hii ni vita kamili dhidi ya familia,and the sooner we realize that and do something about it the better.
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Ninakuelewa sana mkuu, tokea mwanzo ulipoweka hii mada.Mkuu hakuna mwanamme atakaye-ona hiyo hali kwamba ni ya kawaida!Wataburuzwa tu,but deep in their minds they know it is wrong.Unajua kitakachotoe,ni disappearance of the family as we know it,kama Ulaya na Marekani.That is the end game.
Unajua Zitto,mimi huwa namuona mtu anaye lable mambo kuwa ni conspiracies kuwa ni mind controlled, indoctrinated and enslaved by the West or if you want the NWO,kwa kuwa watu wa NWO au agents wao ndio wanao-lable mambo kwamba ni conspiracies ili wafiche uovu wao.Tania ya kuita mambo conspiracies ni characteristic moja wapo ya watu kama hao,zipo nyingi.Kwani JPM hakujua alipomteua Samia kwamba yeye ndio mrithi ikitokea amefariki? Hvi unajua Ndugai akifariki Dr.Tulia anakuwa spika?
Acheni conspirancy.....maadam mnaojiita wazalendo ndio mliteua wanawake kwa ajili ya maigizo kupata kura then swallow it when it backfires msisingizie wazungu. Unless unakiri JPM naye alitumika na mabeberu kum endorse Tulia na Samia
Mzee hao wajumbe wawili kati ya wajumbe 160+ wamekuuma sana. Je, kwenye wajumbe wa NEC 160+ wanawake wapo wangapi!?Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"
Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania ikifitinika, nimeona mafarakano ya wazi kati ya Wanawake na Wanaume, mafarakano ambayo si ya afya kwa taifa letu. Nilitegemea kwamba ujio wa Rais mwanamke, Mama Samia Suluhu, ungeleta umoja, badala yake naona mbegu za minyukano zikipandwa. Ni kama wenzetu wanawake walikuwa wanasubiri nafasi hii, ili waendeleze minyukano zaidi, ambayo kiukweli tayari ilikuwepo.
Sijui kama it's mere coincidence kwamba katika wagombea sita wa kujaza nafasi za NEC, waliochaguliwa kujaza nafasi hiyo, wote ni wanawake! Mimi naamini sio coincidence, bali ndio minyukano kati ya Wanaume na Wanawake imeanza. Maneno aliyotamka Mama Kabaka Mwenyekiti wa UWT, wakati anatoa hotuba ya kumtunuku Rais zawadi,yanathibitisha hili.
Upo ushahidi wa kutosha, kwamba minyukano hii inahamasishwa na kupewa financial support and backing na nguvu zilizo-jificha za nchi za magharibi through NGOs, vyombo vya habari, mitandao, internet na hata wakati mwingine makampuni ya simu, ili kuvunja familia na ustawi wa jamii yetu kwa maslahi mapana ya nchi hizo.Na kama hatutakuwa makini kama taifa,baada ya miaka kumi ijayo, familia zetu na jamii vitakuwa vime-sambaratika kabisa.
Mimi sina shaka yeyote kwamba kuchaguliwa wanawake tupu kwenye kinyang'anyiro hicho kumewezekana kwa kuwa wajumbe wengi waliohudhuria ni Wanawake. Lakini je, kuchaguana kijinsia kuna tija kwa taifa letu? Ukweli ni kwamba hapana, kwa kuwa hii ita-compromize kwa kiwango kikubwa weledi na hii ni hatari kwa wa ustawi wa Taifa letu.
Lipo wazo la kugawana madaraka 50/50. Kwa nini kuwe na target ndilo jambo linalokera. Linakera kwa kuwa likely-hood ya ku-compromize weledi ili kua-chieve target is obvious. Hili nimeliona sehemu nyingi sana. Infact hata leo kule Dodoma jambo hili limejionyesha wazi. Who knows, labda katika wale wagombea wanaume walio-achwa, some are more competent than the ladies elected.
Sina tatizo na wanawake kupewa responsible positions, naomba nieleweke, nina tatizo na ku-compromize professionalism at the expence of gender equality. Our main target should be professionalism, not gender equality.
Nafurahi kwamba wapo wanawake wanao-jitambua, ambao hawataki kupewa nafasi yeyote as a reward, wanapenda kupewa nafasi kwa kuwa wanastahili. Ningependa huu ndio uwe msimamo wa wanawake wote. Tuache professionalism iwe ndio kigezo pekee cha mtu kupata nafasi yeyote anywhere. Minyukano hii inayo-endelea sasa kwa sababu ya kuganga njaa, sio healthy sana, tutangulize mbele kwanza maslahi ya Taifa letu.
Ili uweze kupata.picha kamili ya kile kilichotokea Dodoma leo na kwa nini kimetokea,tafadhali fuata link ifuatayo.Hii ni vita kamili dhidi ya familia,and the sooner we realize that and do something about it the better.
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Be more diagnostic and exploratory mkuu.Mimi siangalii tukio moja,naangalia mtiririko wa matukio na kuanisha na taarifa mbali mbali .Yaani wajumbe wawili tu wakike wamechaguliwa imekuwa kelele!!!? Huu sasa ni upuuzi. Wajumbe
Mzee hao wajumbe wawili kati ya wajumbe 160+ wamekuuma sana. Je, kwenye wajumbe wa NEC 160+ wanawake wapo wangapi!?
Hivi hujui kwenye CC kuna wanawake watatu tu kati ya wajumbe 26+!?
Hebu tuache ulimbukeni mzee.
Read between the lines,utanielewa.
Bado naona unaendeleza minyukano.Anyway,
wanawake hamna budi kujitambua,the path that you have choosen is dangerous.Hii confrontational stance against man haitawasaidia sana,at most it will destroy the family establishment.Most important of all ni uasi dhidi ya Mungu.