Nilichokiona mara ya kwanza baada ya kuagiza kitu ebay

Ebay wako vizuri nimewahi agiza PC huko mwaka juzi
Me nilikuwa naogopa sana, sio mzigo kutokufika tu, nilikuwa naogopa hata masuala ya kulipia kitu zaidi ya bei ya hicho kitu hapa TZ.
Vipi kuhusu hiyo PC uliyoagiza mkongwe, ilifika ikiwa na hali nzuri? Ulitumia posta au? Kama ulitumia posta ulilipia kiasi gani posta ili kuchukua mzigo wako?
 
Ilifika ikiwa vizuri kaka nilitumia posta ilikuwa jioni wakanichaji 10k
 
Niliwahi kuagiza speaker ndogo za ndani za Tv aisee walikikata hela ndefu hadi nikashangaa, bei ya spika ilifika usd 25, lakini nilikatwa 5900 ya Posta, 18% ya kodi, clearing fee, jumla nilikatwa kama , 28/29000. Iliniuma sana. Then tudude twenyewe tudogo tu!!
😂😂😂
Noma sana, spika zilikuwa ngapi?
 
Back
Top Bottom