Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
😃😃😃Mbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongo🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃Mbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongo🤣
Kwahiyo unanishaurije mkuu??😃😃😃
Kuliko kuanza kukaa wiki tatu nasubiria mzigoo, halafu bei ni zile zile si Bora nichukue dar😃😃😃
Bado haujajua kutumia vizuri eBay.Mbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongo🤣
Agiza kwa Ebay au Aliexpress hautojutaOkay so ni recommendable? Kuna bidhaa natamani kuagiza, ila sijapata app sahihi ya kutumia, kikuu walinicheleweshea bidhaa zangu nikakata tamaa kabisa ya kuagiza vitu online
Kuna watu wengi saana wanatamani kuagiza vitu ebay lakini wanakosa muongozo namna ya kuagiza mnaonaje wazoefu nkatoa muongozo japo kidgo tu.
Japo miongozo iliopo jf kama ni ya zamani kidgo na ukipitia pia kama ziko complicated saana
Nipo 🥺Kwani watu wa Posta wapo humu! 😳😳😳