Nilichokiona mara ya kwanza baada ya kuagiza kitu ebay

Ebay wako vizuri nimewahi agiza PC huko mwaka juzi
Me nilikuwa naogopa sana, sio mzigo kutokufika tu, nilikuwa naogopa hata masuala ya kulipia kitu zaidi ya bei ya hicho kitu hapa TZ.
Vipi kuhusu hiyo PC uliyoagiza mkongwe, ilifika ikiwa na hali nzuri? Ulitumia posta au? Kama ulitumia posta ulilipia kiasi gani posta ili kuchukua mzigo wako?
 
Ilifika ikiwa vizuri kaka nilitumia posta ilikuwa jioni wakanichaji 10k
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Noma sana, spika zilikuwa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…