Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
πππMbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongoπ€£
Kwahiyo unanishaurije mkuu??πππ
Kuliko kuanza kukaa wiki tatu nasubiria mzigoo, halafu bei ni zile zile si Bora nichukue darπππ
Bado haujajua kutumia vizuri eBay.Mbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongoπ€£
Agiza kwa Ebay au Aliexpress hautojutaOkay so ni recommendable? Kuna bidhaa natamani kuagiza, ila sijapata app sahihi ya kutumia, kikuu walinicheleweshea bidhaa zangu nikakata tamaa kabisa ya kuagiza vitu online
Kuna watu wengi saana wanatamani kuagiza vitu ebay lakini wanakosa muongozo namna ya kuagiza mnaonaje wazoefu nkatoa muongozo japo kidgo tu.
Japo miongozo iliopo jf kama ni ya zamani kidgo na ukipitia pia kama ziko complicated saana
Nipo π₯ΊKwani watu wa Posta wapo humu! π³π³π³