Nilichokiona usiku wa leo, msaada wenu wanaJF

Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF.

Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo.

Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi karibu zimekuwa kabla ya kulala lazima nichome ubani chumbani na pale ninapotaka kulala ni lazima nishike udhu na Baada ya hapo nasoma surat nas X3 surat faraq X3 surat ikhas X3 na ayatul qurs X3 Kisha huplay Quran na kuiacha ikisomwa kuanzia surat fatiha Kisha Baada ya hapo ndipo hulala zangu nikiongezea na maombi mengine ya kiswahili na udambwi dambwi kama kuomba maisha marefu afya njema na mengine mengine si mnajua life yetu hii "pangu pakavu tia mchuzi" bila maombi haiendi.

Basi bhana leo mida ya saa 10 kama sio Kumi basi 11 au 12 alfajir Giza lilikuwepo si haba kwani sikutoka nje na niliona ni Giza kupitia dilisha ambalo japokuwa lilikuwa na pazia ila I trust my eyes.. bila shaka palikuwa Bado hapajakucha.

Nilichokishuhudia ni kwamba wakati nimelala nimeona viumbe wawili wakiwa na mavazi meupe juu mpaka chini mmoja akiwa karibu na kona ya mlango na wapili akiwa kitandani nilipolala nahisi alikuwa akinikanda kanda mkono wangu wa kushoto yani ubavu wangu wa kushoto kwani nilikuwa nimelalia ubavu mmoja nao ni ule wa kulia na uwa kushoto ukiwa huru na ndio ulikuwa juu nae ndio alikuwa kama kanishika na kufanya kama vile anakanda lakini sielewi kitendo kile dhumuni lake au maana yake nini hasa my point ni hapo alikuwa katika ubavu wa kushoto akidili nao wakati huo huo mwingine akiwa katika Kona ya mlango Yani pembe iliyokaeibu na mlango kwa maana ukifungua mlango inakuwa kama Kona.

Huyu aliekuwa nyuma yangu sikufanikiwa kumuona sura na aliepo mbele yangu aliekuwa kasimama karibu na Kona ya mlango huyu pia sikumuona sura bali niliona tu jinsi alivyosimama sijui kama alikuwa kanipa mgongo au la ila nina walakini alikuwa akinitazama tu Kwa maana hiyo sura ilikuwa mbele ila sikuona zaidi ya vazi lake la rangi nyeupe alilovaa kuanzia chini mpaka juu kama kanzu tu ila Tofauti na yake ni kuwa lake lilifika mpaka kichwani.

Wakati nashuhudia ni kama nilikuwa ndotoni lakini ndoto ambayo ni kama nilikuwa naona kinachoendelea ila Sina la Kufanya zaidi ya kutulia tuli kama mtu aliemwagiwa Maji ya baridi sababu sikuweza kufanya chochote zaidi ya kushuhudia tu kitendo kile kwa sekunde zipatazo 30 hadi 40 Kisha nikashituka kutoka katika hali Ile ya kutoweza kufanya lolote nikiwa kama niko ndotoni.

Enyi wana JF naombeni ushauri na msaada wenu ni nini hiki..
Bro kufikiza usiku kabla ya kulala kdg inatia wasiwasi ,lkn kusoma hizo sura ni vema kabisa as muislamu, kufungua au kulala na Quraan ikasoma ni vizuri special surat Baqara lkn zaidi unguefungua Ruqya shariya hizo zipo tofauti kuzikiliza .Ubani ni vyema kuchoma wakati wa aljafiri au hata haba soda na kuwachia madirisha wazi inatoa mambo mengi au kufikiza kabla ya Maghribi .Sijui ni viumbe gani lkn si viumbe wabaya kutokna na mavazi yao kwa time hiyo waliokuja naona kama ni time ya kujitayarisha kusali ,kama unasali kama husali basi jitahidi usali sala ya asubuhi .
NOTE Wakristo musibeze Dini yetu Tafadhalini mukipata matatizo ya kiroho naona munakimbilia kwa waislamu wawasomee .Heshima kitu cha bureeeee.
 
H

hiyo playlist gives out who u r.
1. At least over 35
2. U sound like male but the playlist suggest that u r ke.
😂 mziki hutoa picha ndio lkn sio mara zote! Very wrong!
 
Bro kufikiza usiku kabla ya kulala kdg inatia wasiwasi ,lkn kusoma hizo sura ni vema kabisa as muislamu, kufungua au kulala na Quraan ikasoma ni vizuri special surat Baqara lkn zaidi unguefungua Ruqya shariya hizo zipo tofauti kuzikiliza .Ubani ni vyema kuchoma wakati wa aljafiri au hata haba soda na kuwachia madirisha wazi inatoa mambo mengi au kufikiza kabla ya Maghribi .Sijui ni viumbe gani lkn si viumbe wabaya kutokna na mavazi yao kwa time hiyo waliokuja naona kama ni time ya kujitayarisha kusali ,kama unasali kama husali basi jitahidi usali sala ya asubuhi .
NOTE Wakristo musibeze Dini yetu Tafadhalini mukipata matatizo ya kiroho naona munakimbilia kwa waislamu wawasomee .Heshima kitu cha bureeeee.
Shukran JazakhaAllahu Khaira... Asante ushauri mzuri..
 
Hao uliowaona ni majini mapepo na sio malaika.Pia inaweza ikawa ni wachawi ambao wanatumia nguvu za giza wakishirikiana na majini.
Tofauti ya imani yangu na imani nyingine zina amini kuna majini wazuri au wanawaita walimu au wazee au mafundi au wataalamu au wasaidizi.
Ninachokifahamu mimi hakuna jini mzuri na hakuna jini anayekusaidia au mwenye urafiki mwema na mwanadamu.Wale ni maadui za wanadamu,ila ni waongo hupenda kuwaongopea wanadamu kuwa wao ni wema na wasaidizi wa wanadamu.
WALICHOKUWA wanakufanyia ni vitendo vya ushirikina.
HASARA ni nyingi uharibufu ndio kazi yao ni roho za uharibifu za kuzimu.Hakuna faida,zaidi ya kukuingiza kwenye ushirikina uganga wa kienyeji wa vitabu visomo,kuwanga na ushirikina.
DAWA SULUHISHO.
Dawa pekee ni YESU PEKEE NDIO KIBOKO YA KUYAONDOA hayo makitu yasikusimburme tena na kukuokoa .
Ukitaka elimu zaidi juu ya hayo majini
jifunze ILIMU au elimu ya Maarifa chuo cha maarifa ya uchawi
na SHEIKH OMARY MNYESHENI aliyekuwa anauafuga hayo majinj na mwalimu ya uchawi Tanga--mfuatilie youtube tv channel inaitwa PROMOVER TV
mwingine
Sheikh HUSSEIN MUBARAKA huyu yupo dodoma makulu youtube channel promover tv
mwingine
AMIEL KATEKELA promover tv youtube
Asante kwa ushauri na mawazo yako ninayaheshimu.. lakini sio sheria
 
Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF.

Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo.

Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi karibu zimekuwa kabla ya kulala lazima nichome ubani chumbani na pale ninapotaka kulala ni lazima nishike udhu na Baada ya hapo nasoma surat nas X3 surat faraq X3 surat ikhas X3 na ayatul qurs X3 Kisha huplay Quran na kuiacha ikisomwa kuanzia surat fatiha Kisha Baada ya hapo ndipo hulala zangu nikiongezea na maombi mengine ya kiswahili na udambwi dambwi kama kuomba maisha marefu afya njema na mengine mengine si mnajua life yetu hii "pangu pakavu tia mchuzi" bila maombi haiendi.

Basi bhana leo mida ya saa 10 kama sio Kumi basi 11 au 12 alfajir Giza lilikuwepo si haba kwani sikutoka nje na niliona ni Giza kupitia dilisha ambalo japokuwa lilikuwa na pazia ila I trust my eyes.. bila shaka palikuwa Bado hapajakucha.

Nilichokishuhudia ni kwamba wakati nimelala nimeona viumbe wawili wakiwa na mavazi meupe juu mpaka chini mmoja akiwa karibu na kona ya mlango na wapili akiwa kitandani nilipolala nahisi alikuwa akinikanda kanda mkono wangu wa kushoto yani ubavu wangu wa kushoto kwani nilikuwa nimelalia ubavu mmoja nao ni ule wa kulia na uwa kushoto ukiwa huru na ndio ulikuwa juu nae ndio alikuwa kama kanishika na kufanya kama vile anakanda lakini sielewi kitendo kile dhumuni lake au maana yake nini hasa my point ni hapo alikuwa katika ubavu wa kushoto akidili nao wakati huo huo mwingine akiwa katika Kona ya mlango Yani pembe iliyokaeibu na mlango kwa maana ukifungua mlango inakuwa kama Kona.

Huyu aliekuwa nyuma yangu sikufanikiwa kumuona sura na aliepo mbele yangu aliekuwa kasimama karibu na Kona ya mlango huyu pia sikumuona sura bali niliona tu jinsi alivyosimama sijui kama alikuwa kanipa mgongo au la ila nina walakini alikuwa akinitazama tu Kwa maana hiyo sura ilikuwa mbele ila sikuona zaidi ya vazi lake la rangi nyeupe alilovaa kuanzia chini mpaka juu kama kanzu tu ila Tofauti na yake ni kuwa lake lilifika mpaka kichwani.

Wakati nashuhudia ni kama nilikuwa ndotoni lakini ndoto ambayo ni kama nilikuwa naona kinachoendelea ila Sina la Kufanya zaidi ya kutulia tuli kama mtu aliemwagiwa Maji ya baridi sababu sikuweza kufanya chochote zaidi ya kushuhudia tu kitendo kile kwa sekunde zipatazo 30 hadi 40 Kisha nikashituka kutoka katika hali Ile ya kutoweza kufanya lolote nikiwa kama niko ndotoni.

Enyi wana JF naombeni ushauri na msaada wenu ni nini hiki..

Ulichokipata ni jambo la kawaida kwa wataalamu wa somo la usingizi. Kuna hatua mbalimbali za usingizi na mambo mbalombali hutokea kwenye kila hatua.

Kuna njozi hutokea wakati unapokuwa unasinzia au wakati unaelekea kuamka toka usingizini(soma kuhusu: sleeping stages and hypnagogic vs hypnopompic hallucinations).

Njozi wakati unaamka huusisha zaidi mambo yahusuyo: kuona, sauti au vitu kugusa mwili/ngozi. Mfano: ni kuona watu au wanyama kwenye chumba kimoja, karibu au chini ya kitanda. Hali hii huongezeka zaidi kwa watu wanaopata usingizi na ku-paralaizi(sleep paralysis).
 
Hatari sana
 
Kisayansi ni sahihi ukichokisema kutokana na sayansi.
ILA KATIKA ULIMWENGU WA KIROHO ukiachana na elimu ya sayansi ambayo haiwezi kuelezea mambo ya imani au ya kiroho,maelezo yake ndiyo hayo.Mana sayansi haiamini katika Mungu wala shetani ,haiamini katika uumbaji wq Mungu,haiamini mambo ya kuzimu na mbinguni,haiamini USHIRIKINA.
Ukienda hospitali dakatari atakwambia ni tatizo la kawaida kutokana na sleep cycles stages mambo ya sleep paralysis na ni sahihi kwa upande wa sayansi.
Ila ukitaka maelezo ya ulimwengu wa kiroho ndiyo hayo tuliyoyasema hapo juu.
 
Soma mambo uliyoandika na utafakari ni nini ulitaka kueleza.

Kwa maelezo yako, "Daktari anakwambia ni sleeping cycle stages", hapa daktari anatumia nini kueleza hili/reference) na "si sahihi kwa upande wa sayansi", sayansi ipi?. Unaposoma usingizi na hatua zake inakuwa ni nini? Mtu anaposoma sleep mechanism, circadian rhythm and homeostasis anafanya kitu gani?

Upande wa kiroho ndo unajimilikisha kutoa maelezo sahihi kuhusu hili(kwa sabstancial evidence zipi?).

Ni vyema kuelezea vyema unachokifahamu wewe kwa usahihi wake na si kusema huku haiwezekani au kule inawezekana.
 
ulichokieleza kisayansi ni sahihi na wala sijakupinga.
Maelezo niliyomueleza mimi ni ya KIROHO ulimwengu wa Roho naujua unavyotenda kazi,na sayansi niliyoisoma mimi haiwezi ku proove yaliyo katika ulimwengu wa Roho wala imani za kiroho.
TUNAISHI KATIKA ULIMWENGU ZOTE MBILI,ULIMWENGU WA ROHO NA ULIMWENGU HUU PHYSICAL NYAMA.
Pamoja na kwamba sisi ni wanasayansi ila pia tuna imani ,ndio mana tupo tunaomuamini Mungu ,tupo tunaoamini binadamu sisi tumeumbwa na Mungu ijapokuwa sayansi inatuambia tume evolve kutoka kwa nyani.Hivyo ni HAKI yetu sote kikatiba na tuna uhuru wa kutoa maoni yetu ,uhuru wa kuamini imani tunazoziamini.
NINACHOTAKA KUELEZA
Muhusika aliyeuliza ameelewa ,mimi sijaelezea kisayansi nimeelezea KIROHO japo sayansi pia naijua ila nimechagua kuelezea kiroho.
 
Ukipenda kueleza kiroho au kisayansi jikite na kulinganana mtizamo wowote unaoona unafaa kumsaidia mhusika.

Ukitaka kueleza vyote eleza hivyo.
Hoja yangu ilikuwa ni mkanganyiko ulioutoa kuhusu: kisayansi vs kidaktari vs kiimani. Ukisoma hoja yako ulivyoitoa mwanzo utaelewa kuwa kuna mambo yanasigana.

Daktari anaongea kwa reference ya kisayansi, mwisho unasema sayansi haiyakubali?? Ni vyema tukubali kuwa kuna mstari kati ya mambo ya kisayansi na kiroho na kati ya hivi hakuna mwenye kusema anaweza ku-mprove wrong mwenzie kwa 100%. Haya ni mapokeo na tuishi nayo kwa kiasi.
 
umenena vyema chief,upo sahihi sana..
 
Back
Top Bottom