Kwa kweli kosa kubwa lilikuwa ni hilo la kukubali kukaa ndani, Disemba 9 kosa hilo halitajirudia tena.Nilichojifunza kwenye yale maandamano ni Samia amshukuru sana Magu kupeleka ikulu Dodoma vinginevyo muda huu angekuwa Oman. Kwa kifupi siku ya tarehe 29 Dar yote ilikuwa mikononi mwa waandamanaji. Walitamalaki watakavyo na walifanya lolote waliloona linapendeza kwao.
Kosa kubwa la waandamanaji ni ilipofika jioni wakarudi makwao na kuachia ibilisi nafasi ya kujiunda upya! Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati kwa mpiganaji ambaye ameshaachiwa uwanja na adui.
Hakuna vyombo bora vya ulinzi vinageuzia bunduki raia wake.Kwakweli gen z (vibaka) si wakufanya watu tusiendelee na Kaz kwenye nchi ambayo inasifika kuwa na vyombo vya ulinzi Bora Duniani. Tujitathimini sana
WEwe ni kiazi kabisa, hapa hapakufai!Kwakweli gen z (vibaka) si wakufanya watu tusiendelee na Kaz kwenye nchi ambayo inasifika kuwa na vyombo vya ulinzi Bora Duniani. Tujitathimini sana
WEwe ni kiazi kabisa, hapa hapakufai!Kwakweli gen z (vibaka) si wakufanya watu tusiendelee na Kaz kwenye nchi ambayo inasifika kuwa na vyombo vya ulinzi Bora Duniani. Tujitathimini sana
Huyu mama na familia yake wana nyumba walizonunua Dubai na Muscat, hivyo wana mahala pa kukimbilia!!Kwa wote wanaoipenda Tanganyika na kujua hatari iliyo mbele yetu atapenda kuona uliyosema yote yanazingatiwa,,lakini wa kuchukua Hatua alishasema yeye ni CHURA KIZIWI,kwa namna gani ataelewa ujumbe mzuri namna hii??Hasikii mi kiziwi,je hata akitaka kusoma,je kichwa Cha kudadavua na kuona hekima hii anacho??
Na je anaipenda Tanganyika kama tunavyoipenda sisi??Je ni mwenzetu??asije akawa ni mgeni Toka visiwa vya mbali anataka kutuvuruga MAKUSUDI
Moja ya akili mbovu za watawala huwa ni hizo.Huyu mama na familia yake wana nyumba walizonunua Dubai na Muscat, hivyo wana mahala pa kukimbilia!!
Hivyo Dharau anazotuonesha Samia ni kwasababu hana uchungu na Tanganyika kwani yeye ana damu ya kiarabu!!! Ni makasa makubwa kumuacha aendeelee kama Rais.
Anaesikia na asikieKila mahala kwenye mjadala unahusiana na hali iliyopo na kilichotokea 29 October 2025 haya ndio nayoyasema
1. Ni kwamba jeshi letu na vyombo vyetu vimejiweka uchiiiii wa mnyama ikitokea hata kama imepigwa mechi ya kirafiki tu ya wiki moja na ka Rwanda tutapasuliwa mchana kweupe Vikosi vya adui vitakua vinapiga chai Dar na Dodoma sio tu kwasababu ya uchache wa silaha na na hayo ma logistics yani watakaochangia ushindi wa adui ni wabongo wenyewe watawataja walipo watataja kila kilochofichwa kwasababu ya chuki ambayo ipo
2. Tofauti na ile ya Iddi Amini ambapo Raia wali support nchi yao hii ya sasa raia wata support adui, Jw walipewa vyakula na kila kitu kutoka kwa wananchi safari hii watapokea usaliti ambao hawajawahi kukutana nao.
3. Vyombo si vinalala nakusema raia wakigeni wanaingia kuleta vurugu basi dua ziishie kwa hao hao raia pasitokee GenZ wakapokea raia na silaha wallah familia za askari na vyombo vingine na CCM watakiona cha mtema kuni.
Jifunze kuandika nyuzi kama za huyu jamaa za kizalendo..sio.unaleta uchawa kwenye maslahi ya taifa...taifa likimeguka hakuna umoja..hapo tunaweza kupigwa hata kutokea nje..TANZANIA KWANZAPoint to note: "NOBODY is SAFE".