PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwakweli gen z (vibaka) si wakufanya watu tusiendelee na Kaz kwenye nchi ambayo inasifika kuwa na vyombo vya ulinzi Bora Duniani. Tujitathimini sana
 
Unfortunately, we have reached a point of no return.

The people want the government to take responsibility, which means eveyone in power to step down and face justice.

Everyone in power, knows taking responsibility means going to jail and losing all the wealth they have accumulated for decades from political entrepreneurship.

None of the two parties is willing to accept defeat. So we're headed down the long scary road of violence!
 
Kwa kweli kosa kubwa lilikuwa ni hilo la kukubali kukaa ndani, Disemba 9 kosa hilo halitajirudia tena.
 
W
Kwakweli gen z (vibaka) si wakufanya watu tusiendelee na Kaz kwenye nchi ambayo inasifika kuwa na vyombo vya ulinzi Bora Duniani. Tujitathimini sana
WEwe ni kiazi kabisa, hapa hapakufai!
Muite mwenzio the big show mkanywe kahawa huku mkijipongeza kwa mauaji ya raia 29/10

Msichokijua kwa ujinga wenu, iko siku LAZIMA kila mmoja atawajibika kwa mauaji hayo!
 
W
Kwakweli gen z (vibaka) si wakufanya watu tusiendelee na Kaz kwenye nchi ambayo inasifika kuwa na vyombo vya ulinzi Bora Duniani. Tujitathimini sana
WEwe ni kiazi kabisa, hapa hapakufai!
Muite mwenzio the big show mkanywe kahawa huku mkijipongeza kwa mauaji ya raia 29/10

Msichokijua kwa ujinga wenu, iko siku LAZIMA kila mmoja atawajibika kwa mauaji hayo!
 
Zama za serikali kuonyesha mabavu, kiburi na ujuaji dhidi ya raia wake zilishapita kitambo, hakuna serikali makini inayojielewa inaweza fanya kosa la kipumbavu km hilo..! generation z inachoelewa ni humility na understanding, wala hakuna kitu inapoteza serikali kuwaelewa raia wake na kuwa humble! serikali inatumikia raia..wao ni watumishi wa wananchi..neno ''government servants'' ndio lina maana halisi ya kuwa mtumishi wa serikali ni sawa na kuwa mtumwa! kuanzia Rais hadi karani wa mwisho kwa cheo..! tulipofika ni pa kubadilisha mentality pia, ni lazima wanaotaka uongozi au kuajiriwa serikalini wafahamu kile wanatakiwa kufanya..asipokubali kuwa mtumwa basi wala asijisumbue kugombea au kuomba kazi serikalini..afanye mambo yake binafsi vile anataka yeye..ndani ya serikali tutataka watu waelewa, wanyenyekevu, wanaokubali kukosolewa na kujifunza..period!
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Mkuu umeeleza nilichokutanacho nikiwa Safari nyakati hizo kuanzia tarehe 29 Oct -03 Nov katika hali ya utafutaji kimaisha.

Licha ya kununua mafuta Petrol lita 10,000/= na Kusafiri umbali wa zaidi ya Kms 450 na kupishana na gari saba tu kwa mara ya kwanza kuwahi kuona kwenye maisha ya safari zangu.

Nilichojifunza

Miji ya kati kama ingecharuka kama ilivyo miji mikubwa ,niseme wazi Chai ingekuwa ya moto zaidi kwa WENYE NCHI.
Kuna miji hii ya kati ilibaki na Askari wachache sana kiasi cha kwamba Wananchi wangechafukwa basi tuseme barabara tungegawana hizi ni MUNGU TU.

Nimejifunza mengi sana kwenye ile safari ngumu.
 
Ogopa sana ikifika hatua mtu yuko tayari kwa lolote.

Unaua kutengeneza hofu ukidhani unatengeneza hofu kumbe unapandikiza roho ya visasi.
Kama kila mkoa ungewaka basi hali ingekua mbaya zaidi.

Akili ya kuzima mitandao iliwasaidia, taarifa zingeendelea kusambaa basi kungewaka nchi nzima.
 
Huyu mama na familia yake wana nyumba walizonunua Dubai na Muscat, hivyo wana mahala pa kukimbilia!!
Hivyo Dharau anazotuonesha Samia ni kwasababu hana uchungu na Tanganyika kwani yeye ana damu ya kiarabu!!! Ni makasa makubwa kumuacha aendeelee kama Rais.
 
Moja ya akili mbovu za watawala huwa ni hizo.

Kwao ni hapa, huko ugenini hakuna mtu anawajua na atawapa heshima kama hapa.

Kina Mobutu, Iddi Amin wote walikimbilia uhamishoni na wakafa wakiwa wapweke kabisa.

Check kama Manji kafia Marekani buko akiwa mpweke akazikwa huko.

Pesa siyo kila kitu.
 
Anaesikia na asikie
 
WEwe jamaa ni kichwa...ilibidi uwe meza kuu...ukitoa ushauri na kufanya utekelezaji....lakini badala yake useless imbiciles like mwijaku na steve ndio wanapewa airtime....NCHI YETU KWANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…