Hao ndio wanaokufanya wewe uweze kuishi level ya juu mkuu, la sivyo ungekuwa unadeki kwa watu saa hii. Wana maana mnoo na wapo ulimwenguni kote hata Washington DC na watakuwepo hadi mwisho wa dunia na maisha hayawezekani bil matabaka hayo. Usiwadharau mkuu, kwani wewe mara ngapi unategemea kuku na mbuzi kuishi? Au tuwaondoe?Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Umeona uje uniseme huku ila nikwambie tu hiyo wanafanya hata wahitinu wa vyuo vikuu.Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula
Hivi kwa miaka ya sasaivi Kuna mfanya kazi kweli Wa serikalini mpaka Ana staafu Anakua hajajiwekezaNi kweli anapokea mshahara kwa miaka 40 kipindi chabkustaafu ndo anazinduka kwamba hana nyumba na kitenga uchumi lakini ni graduate kabisa.
Mkuu kwa uandishi huu naimani bado hujatembea na unahitaji exposure. Elimu itakupa maarifa ila ufahamu itategemea na akili ya mhusika.Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Ameishi kauli ya FANYA KITU MOYO UNAPENDASio darasa la saba tu inategemea na mtu kuna jirani yangu mualimu alifanyia mwanae birthday kanunua cake ya 75k lakini asubuhi kakopa nauli ya kuendea kazini huyu ni darasa la saba pia?
Ukimpa nyingi lazima atajiingiza kwenye makundi ya kula Bata🤣Uenda hela mnazompa ni kiduchu bado,yafaa mumwongezee,ili asije tiwa band
Mleta mada sisi tusiosoma anatuona kama matako yakeTajiri Sinabay njoo hapa huna umuhimu katika jamii😹😹
Si ulisema hujasoma?!
Wewe ndugu kama sio mtu WA tanga basi ni mtwara hili neno "chungu mzima" ni la watu wa mwambao wa pwaniUsiandike Kwa hasira hivi acha kuandika matusi, relax, usipende kusikia, kuona,au kusoma unavyovipenda, Duniani kuna watu chungumzima ,kila mtu na akili yake na uelewa wake
Hivyo tuheshimiane,tukosoane kistaarabu Kwa ustawi wa jamii zetu
😹😹🤣Bado hujasemaMleta mada sisi tusiosoma anatuona kama matako yake
Kikubwa wote tunapumua basi.😹😹🤣Bado hujasema
Mkuu ulipotea asee..Muue 🤣