Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Hao ndio wanaokufanya wewe uweze kuishi level ya juu mkuu, la sivyo ungekuwa unadeki kwa watu saa hii. Wana maana mnoo na wapo ulimwenguni kote hata Washington DC na watakuwepo hadi mwisho wa dunia na maisha hayawezekani bil matabaka hayo. Usiwadharau mkuu, kwani wewe mara ngapi unategemea kuku na mbuzi kuishi? Au tuwaondoe?
 
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula
Umeona uje uniseme huku ila nikwambie tu hiyo wanafanya hata wahitinu wa vyuo vikuu.
 
Ni kweli anapokea mshahara kwa miaka 40 kipindi chabkustaafu ndo anazinduka kwamba hana nyumba na kitenga uchumi lakini ni graduate kabisa.
Hivi kwa miaka ya sasaivi Kuna mfanya kazi kweli Wa serikalini mpaka Ana staafu Anakua hajajiwekeza
 
hilo tatizo si ambao hawajafika darasa la saba tu, ni tatizo linaliwasumbua waTZ wengi sana hata waliomaliza degree vyuoni.
 
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Mkuu kwa uandishi huu naimani bado hujatembea na unahitaji exposure. Elimu itakupa maarifa ila ufahamu itategemea na akili ya mhusika.
Leo tu nimetoka maeneo fulani huko aiseee nimejidharau unakutana na jitu hata la saba halikufika lakini lina asset za kufa mtu lina maisha kukuzidi wewe uliefika chuo hadi unajiona bado unacheza na maisha.
 
Sio darasa la saba tu inategemea na mtu kuna jirani yangu mualimu alifanyia mwanae birthday kanunua cake ya 75k lakini asubuhi kakopa nauli ya kuendea kazini huyu ni darasa la saba pia?
Ameishi kauli ya FANYA KITU MOYO UNAPENDA
 
Usiandike Kwa hasira hivi acha kuandika matusi, relax, usipende kusikia, kuona,au kusoma unavyovipenda, Duniani kuna watu chungumzima ,kila mtu na akili yake na uelewa wake

Hivyo tuheshimiane,tukosoane kistaarabu Kwa ustawi wa jamii zetu
Wewe ndugu kama sio mtu WA tanga basi ni mtwara hili neno "chungu mzima" ni la watu wa mwambao wa pwani
 
Mbona nyie wasomi elimu mliyopewa ya kukariri theories mbali mbali ili ufaulu darasani na kufanya UE haina impact yoyote? unasoma IT hadi unamaliza alafu unaenda kufungua ki library unaanza biashara ya kuwawekea watu movie kwenye flash
 
Back
Top Bottom