Hao ndio wanaokufanya wewe uweze kuishi level ya juu mkuu, la sivyo ungekuwa unadeki kwa watu saa hii. Wana maana mnoo na wapo ulimwenguni kote hata Washington DC na watakuwepo hadi mwisho wa dunia na maisha hayawezekani bil matabaka hayo. Usiwadharau mkuu, kwani wewe mara ngapi unategemea kuku na mbuzi kuishi? Au tuwaondoe?Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.