Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Umbeya huu utaungwa mkono na wambeya pro max..

Na kiasili mwanamke akiona mwenzie analiwa laivu na yeye huingiwa na wivu wa Kutamani kuliwa.... Sabato njema
 
Umbeya huu utaungwa mkono na wambeya pro max..

Na kiasili mwanamke akiona mwenzie analiwa laivu na yeye huingiwa na wivu wa Kutamani kuliwa.... Sabato njema
Hivi kumbe eeh
Sawa boss
 
Nimesoma heading tu , nasikitika kusema kuwa akili huna pamoja na team unayoisapoti
Kumwambia mtu "hana akili" kwasababu mmetofautiana kimawazo ni upungufu wa akili.

Kwaio mtu akikataa kujenga sehemu X kwasababu ya matetemeko ya ardhi yanatokea sehemu hio utamwona hana akili kwasababu umeona watu wengine wamejenga hio sehemu?

WEWE NDIO HUNA AKILI.
 
Nimempiga dislike aka surrender mwenyewe akaja kuomba Amani.
Msamehe bure amejitambua.
adriz
 
Sawa mkuu.
 
Tatizo siyo kusema ukweli tatizo ni kusema ukweli kwa upande mmoja na kujifanya bubu kwa upande mwingine hapo ndipo shida ilipo, mfano kwenye huu ukweli wako umesahau kumalizia pia kila mtu afanye majukumu ya nyumbani half half, kila mtu alee watoto half half kwa maana ya huduma zote za kimwili anazohitaji mtoto (ukitoa kunyonyeshwa) kuanzia anapozaliwa hadi anapofika umri wa kuweza kujitegemea mwenyewe

Na kubwa kabisa kila mtu ajitawale mwenyewe na wote kuheshimiana hakuna kutaka mmoja amtii mwenzie au awe chini ya mwenzie, mkiwa tayari kutimiza hayo yote ndiposa muwaambie wanawake kuwa kuanzia siku hiyo wasitegemee hata mia mbovu kutoka kwenu kila mtu ajihudumie mwenyewe, na kuhusu suala la mahari itabidi utamaduni wa watoto kutumia jina la ukoo la baba pekee ufe bali watoto waanze kutumia majina ya koo za wazazi wote wawili

Yani mkikubali hayo mbona mambo yatakuwa rahisi tu mimi sidhani kama wanawake wana shida kwenye kutafuta hela, mbona wengi tu siku hizi wanatafuta hela shida inakuja pale ambapo hamtaki kuwapa haki ila mnataka wachukue majukumu, halafu wakiwaambia ukweli mnaanza kuwatukana na kuwaita majina ya ajabu sasa hapo mwenye tatizo kati ya wote ni nani
 
hujaeleza kitu hapa hapa
 
sio kwel haya maelezo ni ya uongo
 
Ushakutana na mke wa mtu anayedaiwa kikoba wewee?? Mda huo hisa zinatakiwa??
Hahaha ngoja tufiche Siri za kambi.
Kwa ufupi wanawake wenye ndoa wanagawa kuliko walio single (kwa zile cases ambazo ninazifahamu)
Wakeapi hao wanaohitaji hela ya mchezo mie niwape wao wanipe mbususu
 
Ni utapeli na kuwaibia wanaume
Unalipiaje gumegume mahari ili ulitoe kwao?
Wake za watu wengi ni malaya mbwa ni vile tu wamefunikwa na kivuli cha ndoa
Kwa vile wewe umekosa wa kukuoa! Mapenzi kazini asikwambie mtu ni matamu hatari! Tuulize Sisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…