Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Umbeya huu utaungwa mkono na wambeya pro max..

Na kiasili mwanamke akiona mwenzie analiwa laivu na yeye huingiwa na wivu wa Kutamani kuliwa.... Sabato njema
 
Umbeya huu utaungwa mkono na wambeya pro max..

Na kiasili mwanamke akiona mwenzie analiwa laivu na yeye huingiwa na wivu wa Kutamani kuliwa.... Sabato njema
Hivi kumbe eeh
Sawa boss
 
Nimesoma heading tu , nasikitika kusema kuwa akili huna pamoja na team unayoisapoti
Kumwambia mtu "hana akili" kwasababu mmetofautiana kimawazo ni upungufu wa akili.

Kwaio mtu akikataa kujenga sehemu X kwasababu ya matetemeko ya ardhi yanatokea sehemu hio utamwona hana akili kwasababu umeona watu wengine wamejenga hio sehemu?

WEWE NDIO HUNA AKILI.
 
Kumwambia mtu "hana akili" kwasababu mmetofautiana kimawazo ni upungufu wa akili.

Kwaio mtu akikataa kujenga sehemu X kwasababu ya matetemeko ya ardhi yanatokea sehemu hio utamwona hana akili kwasababu umeona watu wengine wamejenga hio sehemu?

WEWE NDIO HUNA AKILI.
Nimempiga dislike aka surrender mwenyewe akaja kuomba Amani.
Msamehe bure amejitambua.
adriz
 
Kumwambia mtu "hana akili" kwasababu mmetofautiana kimawazo ni upungufu wa akili.

Kwaio mtu akikataa kujenga sehemu X kwasababu ya matetemeko ya ardhi yanatokea sehemu hio utamwona hana akili kwasababu umeona watu wengine wamejenga hio sehemu?

WEWE NDIO HUNA AKILI.
Sawa mkuu.
 
Jadda
Rebeca 83

Watu wakisema ukweli haimaanishi wanawachukia

Wanawake Wema ni 1 kwa 1000/=

Alafu bado mwanaume ateseke ati kuhudumia upumbavu.

Kila mtu atafute pesa,
Kila mtu ajihudumie mwenyewe.
Watoto wote mhudumie half half.

Mkiwa na nyege ndio mkutane.
Tatizo siyo kusema ukweli tatizo ni kusema ukweli kwa upande mmoja na kujifanya bubu kwa upande mwingine hapo ndipo shida ilipo, mfano kwenye huu ukweli wako umesahau kumalizia pia kila mtu afanye majukumu ya nyumbani half half, kila mtu alee watoto half half kwa maana ya huduma zote za kimwili anazohitaji mtoto (ukitoa kunyonyeshwa) kuanzia anapozaliwa hadi anapofika umri wa kuweza kujitegemea mwenyewe

Na kubwa kabisa kila mtu ajitawale mwenyewe na wote kuheshimiana hakuna kutaka mmoja amtii mwenzie au awe chini ya mwenzie, mkiwa tayari kutimiza hayo yote ndiposa muwaambie wanawake kuwa kuanzia siku hiyo wasitegemee hata mia mbovu kutoka kwenu kila mtu ajihudumie mwenyewe, na kuhusu suala la mahari itabidi utamaduni wa watoto kutumia jina la ukoo la baba pekee ufe bali watoto waanze kutumia majina ya koo za wazazi wote wawili

Yani mkikubali hayo mbona mambo yatakuwa rahisi tu mimi sidhani kama wanawake wana shida kwenye kutafuta hela, mbona wengi tu siku hizi wanatafuta hela shida inakuja pale ambapo hamtaki kuwapa haki ila mnataka wachukue majukumu, halafu wakiwaambia ukweli mnaanza kuwatukana na kuwaita majina ya ajabu sasa hapo mwenye tatizo kati ya wote ni nani
 
Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.

Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
hujaeleza kitu hapa hapa
 
Teyali ushapata laan wewe ushatembea na dada zako

Bible inasema amelaani mtu yule aone uchi wa baba na ***** unajua alikuwa ana maanisha nini kufanya mapenzi na mtu alie kuzidi umri kwa mwanaume sawa na dada yako au mama yako na kwa mwanamke pia kulala na mwanaume sawa na baba yake
sio kwel haya maelezo ni ya uongo
 
Ushakutana na mke wa mtu anayedaiwa kikoba wewee?? Mda huo hisa zinatakiwa??
Hahaha ngoja tufiche Siri za kambi.
Kwa ufupi wanawake wenye ndoa wanagawa kuliko walio single (kwa zile cases ambazo ninazifahamu)
Wakeapi hao wanaohitaji hela ya mchezo mie niwape wao wanipe mbususu
 
Ni utapeli na kuwaibia wanaume
Unalipiaje gumegume mahari ili ulitoe kwao?
Wake za watu wengi ni malaya mbwa ni vile tu wamefunikwa na kivuli cha ndoa
Kwa vile wewe umekosa wa kukuoa! Mapenzi kazini asikwambie mtu ni matamu hatari! Tuulize Sisi!
 
Back
Top Bottom