Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Of course is non of my business but is not off my eyes....
You should avoid doing your private issues in public places
It is her choice kuwa public or confidential, why are u bothered na private life ya mtu
 

Hakunaga mgawanyo wa majukumu
Nature inataka kila mtu ajihudumie mwenyewe.
Na Yule ambaye ni mhanga wa Jambo lolote nature inamtaka ajihami.

Mgawanyo wa majukumu ni mapokeo tuu ambayo nature haiyatambui
 
Humu ni kutoishi kwa akili za kushikiwa.
 
Duh! Kwahiyo wakakosa hata ten ya guest wakaamua wanyukane stoo
 
Hakunaga mgawanyo wa majukumu
Nature inataka kila mtu ajihudumie mwenyewe.
Na Yule ambaye ni mhanga wa Jambo lolote nature inamtaka ajihami.

Mgawanyo wa majukumu ni mapokeo tuu ambayo nature haiyatambui
Sasa ndio umekuja kwenye hoja yangu na mimi ndicho ninachowaambia wanaume wenzio siku zote kuwa huu mgawanyo wa majukumu siyo nature bali ni mapokeo ya kijamii tu, wao ndio hulazimisha kwamba huu mgawanyo wa majukumu ni nature hasa majukumu ya wanawake huku ya wanaume wakitaka yabadilike, na ndio maana nikakuambia kama wanaume mnataka huo mgawanyo wa majukumu ubadilike basi usibadilike kwenye majukumu ya wanaume tu bali hata ya wanawake kwahiyo mnapowahimiza wanawake kujihudumia wenyewe pia muwahimize na wanaume kujitunza wenyewe ili wasiwe mizigo
 

Siku hizi wanaume wanajitunza wenyewe kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake Wachache wanaoweza kujitafutia riziki Zao.

Housekeeper, housegirl, huduma za usafi na Dry Cleaner siku hizi zimerahisisha hayo.
Labda kwa Wanaume Local
 
Ungefunguka hata style waliyotumia basi ili kataa ndoa wapate point za nyongeza
Atafungukaje wakati Hajaona kilichotokea huko store?!

Huenda mtoa mada kagundua kuwa ka demu kake ni chaote kanachapiwa hadi store, then akakimbilia hapa kutoa machungu yake πŸ˜‚
 
Kwa nini upo timu kataa ndoa?
Me naangalia mambo kwa jicho pana na sio kwa jicho La ubinafsi eti kwa vile mimi ni mwanamke.
Nitarudi nikujibu vizuri ngoja nikamalizie usafi kule garden maana Leo nimechelewa kumaliza nisijefukuzwa kibarua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…