Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Mbona umeandika kiwivu wivu sana. Unamuonea wivu kaolewa na bado anachukuwa vidume unavyovitamani ofisini😛😛😛 pole. Ndoa zitaendelea kuwepo na heshima yake italindwa na wanajielewa.
 
Mbona umeandika kiwivu wivu sana. Unamuonea wivu kaolewa na bado anachukuwa vidume unavyovitamani ofisini😛😛😛 pole. Ndoa zitaendelea kuwepo na heshima yake italindwa na wanajielewa.
Wivu Sina Ila roho inauma
Namhurumia mwanaume wake. Siwezi furahia Jambo La namna hii. Kama wewe unafurahia sawa dear
 
Wengi naowajua wamefyatuka
Kuna mmoja alituma pic ya uchi anamtumia mume wa mtu mwingine ikakamatwa na mke we ikaletwa kanisani
Hao ni wanawake wanaofanya kazi tena wale wanaopesa sio hawa wakawaida . Unajua kuna wanawake wanaolewa ili wasiwe wapweke au wasionekane hawajaolewa so hawajaligi wakiwa na kila mwanaume kwa ajili yakulinda kazi yao au wapate kitu wanachotaka hawajui ndoa ni uaminifu.

Na wale wema wameoana na wanaume makahaba
 
Dah hataree
Yani mtu anaolewa tu ili aonekane ameolewa au ndo akina Anna juakali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…