Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Avatar yako haisadifu mambo hayo kweli?Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomea🤣🤣🤣🤣
Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya mmoja wao ndipo shanga zikaonekana (Mambo hadharani) Watu ikabidi waziletee mazonge shanga hadi wakazikata 🤣🤣🤣🤣 Oya weeeh
Kama sio polisi kuingilia leo Millard Ayo angepata kichwa cha habari cha moto🔥🔥🔥
Siungi mkono uzalilishwaji ila nimefurahi maana hawa viumbe wamezidi kujiacha sasa inafika sehemu wanajiongelea vile wanavyotaka na confidence kibao na wanasapportiwa sasa kama wewe ni Gay usiombe ugundulike mitaa ile utajichukia.
Kumbafu.
Kwa kosa Gani?Kwanini hawakula kipondo jamani 😁 ilitakiwa wapewe vyao na hao polisi waunganishwe
Umejaa, Haya ngoja nikupokee kiongozi… Unahisi mimi nimekosea nini hapo kuandika hisia zangu baada ya kuona nilichoshuhudia?Avatar yako haisadifu mambo hayo kweli?
Maana siku hizi kuna saikolojia mpya imeingia mjini: ukisikia mtu anabwabwaja kuhusu uzinzi, anabwabwaja kuhusu ufisadi, anabwabwaja kuhusu ushoga nk nk, kimbilia kumsoma usoni ulinganishe body language yake na anachokisema uone kama anastahili kukaripia anachokikemea?
Maana waweza kukuta mtu analaani matendo maovu kumbe ndiye mshiriki mkuu wa matendo hayo hayo?!
Avatar yako inafanana na ufirauni, halafu leo unakuja kulaani ufirauni huo huo, what for!
Ukinijibu kuwa unaongelea *******, nitakujibu kuwa kila kundi ovu huwa linaundwa na makundi mengine madogo madogo kuliwezesha kushamiri.
Kwa mfano: ukisema 'jambazi', basi kuna makundi mengine yafananayo, kuna wezi, matapeli na wadokozi.
Hilo ni kundi moja tu la wakwapuaji!
Ndiyo wewe na hao jamaa zako sasa, ni kundi moja tu, cha ajabu leo unawageuka wenzako na kusherehekea madhila yao!
Mwingine huyu hapaMbona na wewe ni wakiume lakini wakike
Nimeeleza kwa kirefu nilichomaanisha kwa jinsi nilivyokusoma.Umejaa, Haya ngoja nikupokee kiongozi… Unahisi mimi nimekosea nini hapo kuandika hisia zangu baada ya kuona nilichoshuhudia?
Nilitegemea uandike kwamba una-support tabia za kichoko au lah ila naona unasupport ila unazunguka mbuyu, ID yangu inasadifu kitu gani kinachohusisha hayo mambo!?
Kama huna uhakika na unachoongea basi nakuambia hivi wanavyoitikia Mama Amina ndo wewe.
Unataka kutetea ushoga sio?Nimeangalia hiyo video hiyo mibaba mizima kama mijinga kumzonga kijana mdogo namna hiyo maana yake nini?
Yaani ufisadi unavyosemwa hadharani badala yakasirike yaingie barabarani yenyewe yako busy kufunua mashati ya vijana wadogo waliokua wanajipitia zao bila shida yoyote,
Pathetic
Ushoga na Ufisadi kipi kinaathiri jamii ya watanzania?Unataka kutetea ushoga sio?
Nakazia hoja: Inaitwa "Kisebusebu na kiroho papo". Yan wanawafuatilia kana kwamba wamekula au kudhulumu mali yao. Kumbe ni hawana kazi nyingine productive wapo Idle ndo mana wanapata muda wa kufuatilia yasiyowahusu.Hawa inaonekana kimoyomoyo mnawapenda sanaa tu, msingewapenda hivyo msingewafuatilia hivyo.
hufuraisha kama hatoki kwenu!Makalio ni yao , binafsi sina mda wakufuatilia makalio ya mtu anayatumia vipi🚮
Yeah kama hatoki kwangu anafurahisha sanaKichaaa
hufuraisha kama hatoki kwenu!
Mimi siwatetei, natetea haki za binadamu tu zilizo katika mikataba ya kimataifa tuliyosaini.Halafu wewe unayewatetea ndio huwapendi?
Kwani wameonesha shanga au mmewafunua ndiyo shanga zao zikaonekana?Kwa hiyo ulitaka waachwe waoneshe shanga?
Si lazima.Mwanaume yeyote aliyefungua hiyo video Ili kushuhudia makalio yenye shanga ya mwanaume mwenzake basi na yeye kama sio mende ni upinde pia.
Malezi ya wazazi - wazazi ndo walaumiwe... ie.e kuna mahali wazazi walizembea katika malezi. Mbona watoto wa kike wameachwa na wanayoendelea kufanya tena hayapendezi kabisa, wao mnawajua na mnaishi nao lakini mmewanyamazia na pengine nyie ni wateja?? au wanachofanya e.g. kudanga, kusagana, umalaya hadi wanafanya maonesho kwenye mabaa uck n.k. ni chema sana? Mbona hujiulizi watoto wajao wataona ni kawaida na jamii (wakiwemo watoto wako mwenyewe)itazidi kuharibika? Ni bora kama umeona tendo ni baya basi usibague - kemea kwa wote lakini pia tumia busara na hekima katika kukemea. Kitendo walichofanyiwa hao vijana ni KOSA la jinai.Wanaharibubjamii sio kwamba watu wanapenda kuwafuatilia ishubkama iyonikiwa inaonekana yabkawaida watoto wajao wataona ya kawaida na jamii itazid kuharibika ww utaona kitu cha kawaida mtt wako wa kiume afumuliwe marinda na utakujabkusema kwamba utamuacha watu wafumue tu kisa hufatilii hayo mambo
Tanzania kuna watu masikini wengi sana ambao hawajui kupanga matumizi mazuri ya muda, wameshikiwa akili na kuaminishwa kuwa tatizo kubwa katika jamii ni hawa *******.Nakazia hoja: Inaitwa "Kisebusebu na kiroho papo". Yan wanawafuatilia kana kwamba wamekula au kudhulumu mali yao. Kumbe ni hawana kazi nyingine productive wapo Idle ndo mana wanapata muda wa kufuatilia yasiyowahusu.
Sasa unafikri sisi tulijuaje kama wana shanga? Mwanaume mzima unavaa shanga zikikatika?Kwani wameonesha shanga au mmewafunua ndiyo shanga zao zikaonekana?
Rhabhekhaaaaa!!! Kuna nn hapaa?