Ukiona mtu anakuwa so curious na ushoga hasa kwenye kupinga, tena kwa namna km hii.Si shabikii Ushoga na wala Siwanyanyapai Mashoga ila pia siwezi kuwazongazonga kwani sijui kilichojiri kwao hadi wakaamua au kulazimika kuwa kama hivyo walivyo. Lakini zaidi kwa sababu ni binadamu kama mimi ninawaheshimu na kuwakubali/kuwapokea i.e. ninaweza kuishi nao bila shida yoyote au purukushani kama ilivyotokea hapo K/koo.
Wabongo hawana wanalojua, ndio maana hii vita wanaishindwa na hawata weza kamweee.Gayism ni ndani ya moyo wa mtu hakuwi determined na mavazi
Sio nyie mnaolia kila siku vitimbwi vya mademu hamviwezi? Mara kuombwa pesa na vitu hamtakii.Hawa wapumbavu wanatuachia msala sana kwa mademu maana tutabaki wachache tutajigawaje sasa kuwashughulikia mademu
😂😂😂😂😂Huo muda wa kupinga matendo ya kinyume na Utamaduni wangeliutumia kujitafutia kipato au maendeleo yao na familia zao.
Je, Kelele zao zina impact yoyote? Hapo ujue ni kelele na Udhalilishaji vimefanyika K/koo tu. Vp huko Ubungo, Kimara M/Nyamala, Mwanzo, Arusha n.k. ? Huko hawapo? Ni sawa na yule mtoto aliyechota maji baharini kwa glasi kubwa halafu akasema amepunguza maji ya bahari.
Humo miongoni mwao kuna watu wana madhambi machafu tena ya kuonea watu, kuiba, kudhulumu, kutapeli, kuumiza, kuloga, kufira wanawake, lakini ndio vinara wa kudhalilisha vijana wadogo kama wale.Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.
Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
😂😂😂😂😂Hayo mababa yanayodhalilisha vijana wadogo ukiyaambia yaandamane kupinga ufisadi utayakuta yamejificha uvunguni yanachungulia kwenye vitobo.
Mikundu inafichwa chini kabisa uvunguni yanaongea kwa kunong"onezana.
kuna papayi moja lilifikishwa mahakamani kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile, wakati wa kujitetea , likaropika,...SAMAHANI HAKIMU, MIMI SIKUJUA KUWA MKND NI MALI YA SERIKALI NA SIO MIMI,....😭😭😭 kama sio polisi angezikwa,...Makalio ni yao , binafsi sina mda wakufuatilia makalio ya mtu anayatumia vipi🚮
Kwa usomi gani coca wakati sijui sheria mie 😂😂😂 LOL najiona kabisa naelekea segerea na shanga zangu kwenye BUNO 😂😂😂😂😂😂Sasa wizzzo uende jela kwa kipii? Usomi? Ufahamu na akili kubwa km wee, aaah wapii wataonewa hawa wasiojitambua.
😂😂😂😂😂
Tuache ujinga.kuna papayi moja lilifikishwa mahakamani kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile, wakati wa kujitetea , likaropika,...SAMAHANI HAKIMU, MIMI SIKUJUA KUWA MKND NI MALI YA SERIKALI NA SIO MIMI,....😭😭😭 kama sio polisi angezikwa,...
Binafsi kufuatilia mambo yasiyo nihusu huwa ndio sitaki makalio ni yake atajua mwenyewekuna papayi moja lilifikishwa mahakamani kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile, wakati wa kujitetea , likaropika,...SAMAHANI HAKIMU, MIMI SIKUJUA KUWA MKND NI MALI YA SERIKALI NA SIO MIMI,....😭😭😭 kama sio polisi angezikwa,...
Uno lake shanga zake kinyeo chake Sasa wewe unahangaika na nini?Yatumie hukohuko sio unatuvalia shanga kwenye kadamnasi kmlamamak
Nashangaa sana mpaka nachoka.Uno lake shanga zake kinyeo chake Sasa wewe unahangaika na nini?
Kinyume na utamaduni gani ambao hatujakaa siku yoyote tutakubaliana kuwa huu ni utamaduni wetu?But atleast wanajitahidi kupinga matendo ya kinyume na utamaduni maana ukiimagine ukapata vyote lakini maadili 0 sasa ina faida gani?
Mkuu halafu huo sio uzalilishaji bali ni ukumbusho.Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomea🤣🤣🤣🤣
Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya mmoja wao ndipo shanga zikaonekana (Mambo hadharani) Watu ikabidi waziletee mazonge shanga hadi wakazikata 🤣🤣🤣🤣 Oya weeeh
Kama sio polisi kuingilia leo Millard Ayo angepata kichwa cha habari cha moto🔥🔥🔥
Siungi mkono uzalilishwaji ila nimefurahi maana hawa viumbe wamezidi kujiacha sasa inafika sehemu wanajiongelea vile wanavyotaka na confidence kibao na wanasapportiwa sasa kama wewe ni Gay usiombe ugundulike mitaa ile utajichukia.
View attachment 3461391
Kumbafu.
Unaacha kujadili hoja, unajadili mtu.Mwanao wa kiume akianza kufanya mambo ya kike usianze kutuonea haya majirani zako maana huku JF una-support
Wewe kwanza hujui tofauti ya udhalilishaji na uzalilishaji.Mkuu halafu huo sio uzalilishaji bali ni ukumbusho.
Acheni uchoko, kumbe kuwasapoti hao machoko ndio ustaarabu? Mkishajifunza mila za waingereza basi nanyi mnajiona sawa na wao, yaani issues za kufuga machoko mnaita ustaarabu?.Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.
Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
Mbona mkali sana na wewe una vaa shanga?Wewe kwanza hujui tofauti ya udhalilishaji na uzalilishaji.
Herufi za Kiswahili tu ni mzigo kwako.
Masuala ya falsafa za haki za binadamu na uhuru wa mtu binafsi sina hakika kama una uwezo wa kuyaelewa.