Sio hajaelimika, ni anakuwa anapitia katika ule wakati mgumu wakujijua jinsia yake, kwa hiyo anapiga makelele kwa nguvu zote aonekane hana hisia za ushoga....Ukiona mtu anakuwa so curious na ushoga hasa kwenye kupinga, tena kwa namna km hii.
Ni yule ambaye hajaelimika,
Ni dalili ya jamii ya watu wasio na muelekeo ambao hawajui maana ya kutumia muda wao kwa tija na intentionality.Hapa mjini Daslam watu wanafuatilia kila kitu, yaani inawezekana kitu kisiwe na mantiki yoyote ila utashangaa kuona dakika kadhaa watu wamejaa sana na kuanza kuongea ili mradi tu mda uende.
Mimi si mkali sana, wewe ndiye mpole sana mpaka nikiandika kawaida tu unaniona mkali sana.Mbona mkali sana na wewe una vaa shanga?
Umeaza wewe kuandika kwa dharau sana. Ndio maana na mm nimeandika kidharau hivyo hivyo. By the way dunia ina watu wengi hatuwezi kuwa na mitazamo inayo lingana wote. Ndio maana kuna watu wana kula nyoka wakati sisi huku hatuli. Kuna watu wana kula panya na sisi hatuli.Mimi si mkali sana, wewe ndiye mpole sana mpaka nikiandika kawaida tu unaniona mkali sana.
Jibu hoja kwa hoja.
Ukianza kumuandama mtoa hoja bila kujibu hoja umeshindwa hoja. Hiyo ni ad hominem attak. Logical fallacy.
Mimi sivai shanga. Ila hata kama ningevaa nisingeona tabu kusema kuwa navaa.Mtu kuvaa shanga kama kataka mwenyewe ni maamuzi yake tu, ni haki yake ya kibinadamu tu, ni self expression tu.
Si hatari hivyo kama wewe unavyotaka ionekane
Shanga kavaa yeye, kiuno chake, tatizo lako wewe nini?
Maisha sio uniform kuwa tuwaze sawa wote, ukiandamana wewe na wenye fikra kama zako ina tosha.Hizo nguvu wangewekeza kwenye kuandamana na kudai katiba mpya, ningewaelewa.
Of course…..hahaha!Hawa inaonekana kimoyomoyo mnawapenda sanaa tu, msingewapenda hivyo msingewafuatilia hivyo.
Nimeongelea habari ya mikataba ya kimataifa nchi yetu iliyotia saini.Umeaza wewe kuandika kwa dharau sana. Ndio maana na mm nimeandika kidharau hivyo hivyo. By the way dunia ina watu wengi hatuwezi kuwa na mitazamo inayo lingana wote. Ndio maana kuna watu wana kula nyoka wakati sisi huku hatuli. Kuna watu wana kula panya na sisi hatuli.
Kwahiyo kama wewe unaona kuvaa shanga na kufumuliwa marinda ni sahihi ni mtazamo wako lakini kwangu mimi sio kitu nacho weza kuunga mkono.
Sasa kama unajua maisha siyo uniform kuwa wote tuwaze sawa, mbona hao wanaume walioamua kuvaa shanga mnawaandama kwa kufikiria na kuwa tofauti na mnavyotaka nyie?Maisha sio uniform kuwa tuwaze sawa wote, ukiandamana wewe na wenye fikra kama zako ina tosha.
Hilo tukio halijaaffect muda wowote wa mtu maana mwisho wa siku kila aliefanya vile aliona muda wake unaruhusu… Haikufanya vile Kariakoo NzimaHuo muda wa kupinga matendo ya kinyume na Utamaduni wangeliutumia kujitafutia kipato au maendeleo yao na familia zao.
Je, Kelele zao zina impact yoyote? Hapo ujue ni kelele na Udhalilishaji vimefanyika K/koo tu. Vp huko Ubungo, Kimara M/Nyamala, Mwanzo, Arusha n.k. ? Huko hawapo? Ni sawa na yule mtoto aliyechota maji baharini kwa glasi kubwa halafu akasema amepunguza maji ya bahari.
Njoo upite wewe mwanaume ukiwa na tait na mwendo wa kubogojwa alafu uone nguvu ya elimu yako juu ya fedhea.Na hao wahusika wanaofanyiwa hizo njegeka ni wale wasio jitambua, Elimu hawana wala ufahamu.
Mtu uko zako timamu kichwani na Elimu unayo afu ubagazwe hivyo? Hao wahusika muda huu wangekuwa lock up wanasubiri kusomewa mashitaka, pumbavu zao.
Wakati unachukua hiyo video ulikua kwenye daladala simu umeibana ipasavyo kwa kuhofia wahuni wasiruke nayo😀Njoo upite wewe mwanaume ukiwa na tait na mwendo wa kubogojwa alafu uone nguvu ya elimu yako juu ya fedhea.
Ebu ongea uhalisia achana fiction maana uhalisia ni dhahiri video imeonesha vijana waoonekana na mionekano ya kishoga wakitolewa nishai na wananchi sasa wewe utuambie upo upande upi unaunga mkono (Kwanini) Unapinga tukio hilo (Kwanini?) Na uache kuzunguka mbuyu maana unatutia wasiwasi malumeSio hajaelimika, ni anakuwa anapitia katika ule wakati mgumu wakujijua jinsia yake, kwa hiyo anapiga makelele kwa nguvu zote aonekane hana hisia za ushoga....
Hapo utakuta kila siku akilala usiku anaota anasuguliwa na washkaji zake wa maskani...
Yaani kuna moja sura nzito likitambi kama furushi la mwizi na lenyewe ka jinga linacheka cheka mtoto mdogo kudhalilishwa,Mababa yana misongo ya mawazo hapo full njaa, madeni na stress za uwinga.
Ni jambo baya sana midingi yenye njaa kuanza kushambulia watoto wadogo na kuwavua nguo kwa tuhuma uchwara za ushoga.
Nitakueleza kwanini labda jamaa hajakufafanulia vizuri na kama wewe pia maybe upo kwenye kutetea masuala hayo kwa kubatiza jina la human rights…. Ipo hivi ni wazi kwamba jamii yetu haiungi mkono vitendo vya aina hiyo hivyo basi waru wakuwa wakijua kwamba matendo hayo sio mazuri na ni ya aibu kwa jamii na hakuna mtu ambae atapenda kesho asikie mtoto wake ameangukia humo…. Sasa issue inaweza isiwe kwamba wewe umeshaangukia humo tu bali jinsi unavyoweza kujilimit au kujizuia na kuheshimu hisia za wengine katika jamii hizo yaani kwa kuficha tabia hiyo ambayo ni dhahiri kuna wengine wakijua unajihusisha nayo inawaturn off sasa unakuta mtu unajiachia kuanzia uvaaji,utembeaji hadi uongeaji alafu unakatiza kwa wahuni ukiwa unajiamini kabisa na kujibinua juu watu wanakuambia “oyaa vipi mbona mbona we mwana lakini kama vile?” Unajibu jeuri alafu unategemea nini?Sasa kama unajua maisha siyo uniform kuwa wote tuwaze sawa, mbona hao wanaume walioamua kuvaa shanga mnawaandama kwa kufikiria na kuwa tofauti na mnavyotaka nyie?
Kwa nini na wao msiwaache tu kwa kuwa mshajua maisha si uniform na wote hatuwezi kuwaza sawa?
Ustaarabu ni kukubali vitendo vya kishoga sio?Yaani kuna moja sura nzito likitambi kama furushi la mwizi na lenyewe ka jinga linacheka cheka mtoto mdogo kudhalilishwa,
Ni kazi sana kuishi kwenye jamii isiyostaarabika.
Weka video inayoeleweka sijaelewa kitu hapoNi baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomea🤣🤣🤣🤣
Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya mmoja wao ndipo shanga zikaonekana (Mambo hadharani) Watu ikabidi waziletee mazonge shanga hadi wakazikata 🤣🤣🤣🤣 Oya weeeh
Kama sio polisi kuingilia leo Millard Ayo angepata kichwa cha habari cha moto🔥🔥🔥
Siungi mkono uzalilishwaji ila nimefurahi maana hawa viumbe wamezidi kujiacha sasa inafika sehemu wanajiongelea vile wanavyotaka na confidence kibao na wanasapportiwa sasa kama wewe ni Gay usiombe ugundulike mitaa ile utajichukia.
View attachment 3461391
Kumbafu.