Nilichoshuhudia leo kwa binti mke wa mtu tena mke mwenyewe ni mlokole wa kufa mtu

Weka Picha kwanza tuhakikishe Kama kweli ni huyo unaemsema wewe au umemfananisha
 
Wewe umejuaje kama huwa anafanya kale kamchezo?

Mwisho wa siku wewe ni mwanaume kaa kimya mapenzi ya watu usiyaingilie.
Kuchepuka achepuke yeye kuumia uumie wewe ulipewa kifua kitumie ipasavyo
Anyamaze alafu rafiki yake akifa kwa ngoma ahudhurie msiba wake au abaki anajilaumu?
 
Mkuu!
Ndiyo kukua, kabla hujaingia kaburini utaona mengi na unatakiwa uwe na kifua cha kuyahifadhi.
Hahahah! Papuchi haina dini mkuj ila nimehuzunika uliposema jamaa ana mchezo mwingine! Kama ndio kwel kalamba du! Hapo sasa ndio hatar!
 
Jamaa kaungua sasa na huwa lazima kapiga na ile kitu coz anasemaga
Wee jamaa nahisi mzushi sasa, mara anatumia na ile kitu mara jamaa kaungua . Kila baya unmzushia huyo rafiki yako mla vya watu. Kwa stori yako mwenye mke na mwizi wa mke wote upo nao karibu. Umeomba mzigo wa huyo mama ukanyimwa nini? Ulikuwa unadhania huyo mama kitonga mtereko sio?
 
Mkuu, Mimi nimewahi kung'oa kifaa ambacho sikuamini. Sio kwa kunena huko.!!!

Anyway.. Wanawake wana matatizo makubwa sana. Na ndio waigizaji wakubwa sana. Ndio wanaharibu ndoa Mara zote.

U mwamini mama yako kwenye lipi? Wakati baba yako mwenyewe hamuamini.?
 
mtu kua mlokole haimaanishi amekua malaika.
wapo wanojikuta wameingia majaribuni km bindam wengine na wapo walioimara hawa tetereki.
Hii stori ya kutunga 100%

1.Anazijua ID za JF za dada mlokole na mumewe
2.picha za tukio kapewa
3.kaka mzinifu ana ngoma
4. kaka mzinifu anafanya kinyume na Maumbile
5.dada mlokole ni kiongozi kanisani

what a coincidence!
 
Hadi kwa baba tena
 
Hii stori ya kutunga 100%

1.Anazijua ID za JF za dada mlokole na mumewe
2.picha za tukio kapewa
3.kaka mzinifu ana ngoma
4. kaka mzinifu anafanya kinyume na Maumbile
5.dada mlokole ni kiongozi kanisani

what a coincidence!
Kama sio stori ya kutunga basi kuna mambo anahukumu kwa hisia lakini haya ukweli/uhalisia.
 
Mlipue humu...wagombanie humuhumu halafu tuwasuluhishe humu.
 
Tulia kwanza maana hujajua wako analiwa na nani!

Ya ngoswe mwachie Ngoswe.
 
Hii stori ya kutunga 100%

1.Anazijua ID za JF za dada mlokole na mumewe
2.picha za tukio kapewa
3.kaka mzinifu ana ngoma
4. kaka mzinifu anafanya kinyume na Maumbile
5.dada mlokole ni kiongozi kanisani

what a coincidence!
I like your reasoning ability Mkuu.
Tena huyo jamaa kamtumia na picha so what
 
Amen.
 
Amen.
 
Hii stori ya kutunga 100%

1.Anazijua ID za JF za dada mlokole na mumewe
2.picha za tukio kapewa
3.kaka mzinifu ana ngoma
4. kaka mzinifu anafanya kinyume na Maumbile
5.dada mlokole ni kiongozi kanisani

what a coincidence!
Ana agenda ya siri nyuma ya huo utunzi wake, kujaribu kuionyesha jamii kwamba walokole ndo wazinzi kupita viumbe wote, shetani yupo nyuma yake.
Ushauri wangu kwako mtunzi wa hadithi hii, ikiwa unaona walokole ni wazinzi achana nao, nanda bar, night club au hata ngomani, utapata binti mrembo asiyechepuka
 
We jamaa mjinga sana unaanzaje kuhangaika na maisha ya watu kama umekwazika hata wewe unaweza kuliwa ili mwende sawa hizi ni zama za kufanya kazi siyo kukaa kutwa unahangaika na maisha ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…