Tetesi: Nilichosikia kinaendelea CHADEMA kati ya Lissu na viongozi waandamizi wa Chama

Kwani amesharuhusiwa kutoka nje ya dar es salaam?
 
DUU HII NCHI BANAH
YAAN NDEGE IMEKAMATWA HUKO TENA IMENUNULIWA KWA KODI ZETU HALAFU MTU ANATAKA IWE SIRI
ETI MTU ANAKUJA ANZA MJADILI LISU KWELI?
NDO MAANA KUMBE EEHH
SUBRIN NA MAKINIKIA JIBU SOON TUTALIPATA MBONA
Acha u-hopeless weye. Tumbo alilitengeneza kwa juhudi zake. Sasa unataka kuona tumbo limechorwa au usahihi wa ujumbe? Such a classical moron!
 
Ccm ya magufuli,tanzania ya magufuli. Fool u are self damm it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu hazina ya Taifa anawapeleka puta puta kweli kiasi cha kukosa usingizi majumbani mwao.

[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]
Mkuu, hii mijitu mijinga hadi tumebaki kuitwa ulimwengu wa tatu. Ndiyo maana inapambana isitoke madarakani. Wanajua adhabu watakayopata wakiwa hawana madaraka. These CCMs are heathens!
 
Hii ni serikali ya Magufuli.. Kwanini sio ya CCM? Umeshahoji hilo au kimbelembele tu?
 
Sijajua jinsi yako kama ni Ke au Me, kama ni Ke sishangai unaposema nimesikia kwani hiyo ni hulka ya baadhi ya kinamama wanaopiga umbeya, ila kama wewe ni Me jitafakari vizuri isije ikawa mtoto si riziki.
 
Huu ni uongo na propaganda nyepesi kama Pamba. Lissu ni mzalendo mwenye kuona mbali na asiyevumilia matendo ya hovyo yanayofanyike. Lazima tuige ujasiri kutoka kwake tusimame imara kuwatetea watu wetu na pia kuwajulisha uongo na propaganda zinazofanyika ambazo hazitujengi!
 
Mnaongelea swala LA Noah alilopigia mahesaba Millard Ago kwenye mtandao wake badala yakuongelea tukipata hiyo pesa tujenge reli nchi nzima. Pumbuuuu kweli. Ndo maana Lowasaa aliwahaidi milo mitatu mkakubali.

Mkuu;
Heri ninayewazia Noah kuliko unaye wazia reli nchi nzima. Umezaliwa mwaka jana au nini?? Reli zilikuwepo hadi Mtwara kwenda Nachingwea, Dar hati Kigoma na Mwanza na mpanda, Dar Hadi Tanga na Arusha. Mkaziua wenyewe ili malori yenu yapate kazi.
Nikiwa na Noah yangu mwenyewe nitabebea hata kuku bazazi. Hiyo reli utabebea nini? Wenye Fuso unatakka waendee pikiniki?? Acha utani aisee, reli yenu ni ya miaka 10 tu ijayo baada ya hapo hakuna kitu tutajengea vyoo vya shule hayo mataruma ili fuso zipate kazi.
Heri aliyenidanganya kuwa atanipa milo 3 kuliko anaye ninyima hata huo 1
 
Wewe ni mzushi wa kutupa. Haya pita lumumba ukapate mlo wako mjini utaadhirika kama huna shughuli inayoeleweka kukuingizia kipato.

 
Kwasasa hata Lisu mwenyewe hajijui anaongea kama nani!Maana matamko ya Chadema utamuona Mbowe, Mashinji, Lowasa na viongozi wengine wakuu!Lisu yeye anakurupuka na kuropoka ili akamatwe na polisi apate kiki
Anaongea kama Mwanasheria Mkuu wa Chama. Masuala anayoyazungumzia kwa kiasi kikubwa yanahusu sheria. Haya sema jingine, wewe unatakaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…