Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Tryna a hoe into a house wife
 
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Hao waarabu koko wamejaa mwanza road,bachu,rufita,gongoni...yani watoto watamu balaaa
 
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Una ushamba fulani hivi, Yaani demu wa kupozea unanunua mativii , maredio na kulipa pango
 
Mimi niko Serikalini na nina uhakika nimekuzidi mbali sana kwa maelezo yako ya mahangaiko kuanzia ulivyojieleza mpaka machaka mabovu unayolala
 
Naomba na mie unipangie chumba[emoji2902][emoji2902][emoji2902]
 
Mkuu pole sana.
Kuna jamaa kwenye uzi fulani aligusia kidogo kuwa watu wa tabora wamemtenda vibaya japo hakuweka wazi wamemfanya nini,sasa nilivyouona huu uzi nikajua ni yule jamaa kumbe sio wewe.
Kiufupi watu wa Tabora ndio wapo hivyo mkuu walishawahi kunitenda pia.

Ni watu wa tamaa sana na kupenda mteremko hii huwafanya kuangukia kwenye utapeli.
Na ubaya wa watu wa tabora wamekaa kinafki yaani muonekano wao na mambo wanayoyafanya ni tofauti kabisa,hii inakufanya ushindwe kutofautisha nani ni malaya na nani ni tapeli hadi ukishapigwa ndio utashtuka.
 
Wee acha unajua kutokuwa na uzoefu na bidada nlitegemea angetulia shida si pesa? Mi vipesa vidogo dogo ninavyo havinisumbui kabisa.
Mkuu watu wa Tabora hawanaga shukrani kabisa.
Hata umfanyie nini huwa hawakumbuki na hawana muda wa kufikiria mara 2 ikijitokeza fursa wanasepa na kijiji dakika sifuri tu
 
Kama kweli umemchoka huyu manzi tupia namba hapa wana wa TBR tukafanye yetu
 
Jamani kuna watu wana moyo! Unampangia nyumba kahaba! Unamnunulia tv? Sjui sofa? Wanaume tuna huruma ila wewe umezidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…