Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Tryna a hoe into a house wife
 
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Hao waarabu koko wamejaa mwanza road,bachu,rufita,gongoni...yani watoto watamu balaaa
 
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Una ushamba fulani hivi, Yaani demu wa kupozea unanunua mativii , maredio na kulipa pango
 
Hatufanani. Mama yangu anaishi vizuri na baba yangu. Kifupi si pesa ya kuniumiza kichwa. MPaka natumia hiyo maana yake mambo yote muhimu nimekamilisha. Nalipwa per diem na posho mbalimbali.....yaani siyo issue kwangu. Nlikwazika tu kuwa anatumia vitu nlivyogharamia kwa upuuzi.

Kuna stages sisi wengine tumeshapita hatuko huko tena. Kama ninyi.
Mimi niko Serikalini na nina uhakika nimekuzidi mbali sana kwa maelezo yako ya mahangaiko kuanzia ulivyojieleza mpaka machaka mabovu unayolala
 
Naomba na mie unipangie chumba[emoji2902][emoji2902][emoji2902]
 
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.

ena. Jamaa yangu ananiambia labda nikaangalie sehemu nyingine mademu wa kupozea hasira. Nmeshachoka na huku Mboka Manyema.
Mkuu pole sana.
Kuna jamaa kwenye uzi fulani aligusia kidogo kuwa watu wa tabora wamemtenda vibaya japo hakuweka wazi wamemfanya nini,sasa nilivyouona huu uzi nikajua ni yule jamaa kumbe sio wewe.
Kiufupi watu wa Tabora ndio wapo hivyo mkuu walishawahi kunitenda pia.

Ni watu wa tamaa sana na kupenda mteremko hii huwafanya kuangukia kwenye utapeli.
Na ubaya wa watu wa tabora wamekaa kinafki yaani muonekano wao na mambo wanayoyafanya ni tofauti kabisa,hii inakufanya ushindwe kutofautisha nani ni malaya na nani ni tapeli hadi ukishapigwa ndio utashtuka.
 
Kama kweli umemchoka huyu manzi tupia namba hapa wana wa TBR tukafanye yetu
 
Jamani kuna watu wana moyo! Unampangia nyumba kahaba! Unamnunulia tv? Sjui sofa? Wanaume tuna huruma ila wewe umezidi.
 
Back
Top Bottom