Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

At least ungelipa bill yako na ya baby wako, hayo manunga yembe mengine yajisort yenyewe
 
At least ungelipa bill yako na ya baby wako, hayo manunga yembe mengine yajisort yenyewe
Still bado wangegombana tu.
Jamaa alitakiwa waliweke sawa kabla ya kwenda walpopanga kwenda.
Angeomba dereva bolt awasubiri watete pembeni na baby wake angalau waende sehemu nafuu kwani kuwarudisha palepale nako asingeweza.

Kosa lilianzia kwa binti na jamaa naye kakosea vilevile
 
Huwezi kuwarudisha wala kubadili kiwanja maana at first hujui wamejipangaje. Huwenda nao wapo vizuri mfukoni wametaka tu kampani
 
Huwezi kuwarudisha wala kubadili kiwanja maana at first hujui wamejipangaje. Huwenda nao wapo vizuri mfukoni wametaka tu kampani
Utakuwa mgeni bongo?
Unawajua dada zetu?
Wakiwa na mwanaume hata wakiwa nazo huwa wanaamini wewe mwanaume utalipia.

Bongo ngumu sana...hapo Kenya huwezi ona ufala huu wa kulisha kijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…