Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Hii koment unanfurahisha nani humu?
Huo ndio ukweli bhana,
Mwanaume hakimbii bill kama pesa yake ya mawazo huyo mtu wa jikoni alimuitia wa nini?
Kubali jamaa ni mshamba sababu aliwapeleka kule kuwakomoa yeye angewakataa pale pale,
Wale ni Watoto wa kike tena wanafunzi hupenda kuongozana kwa usalama wao pia hadi hapo wakizoeana na huyo mtu.
 
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili. Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana, mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza. Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,

Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
Ulichokifanya ni umekamilisha kuwa kweli mafunzo ya Cuba,ulifauru ilivyo halali kabsa.
 
Huo ndio ukweli bhana,
Mwanaume hakimbii bill kama pesa yake ya mawazo huyo mtu wa jikoni alimuitia wa nini?
Kubali jamaa ni mshamba sababu aliwapeleka kule kuwakomoa yeye angewakataa pale pale,
Wale ni Watoto wa kike tena wanafunzi hupenda kuongozana kwa usalama wao pia hadi hapo wakizoeana na huyo mtu.
Tatizo umeona komenti ambayo haina ufafanuzi.
Hapo juu nimeeleza makosa ya binti na huyu mleta uzi kuwa;
1. Binti alitakiwa amtaarifu kuwa anakuja angalau na rafiki mmoja ikiwa alihofia usalama.
2. Mleta uzi pia kama aliona hata wamudu wote watatu angemtoa binti pembeni wawekane wazi.
Mnapotaka kuingia kwenye uhusiano uwazi ni muhimu kuliko yule kule jeshi bila taarifa na huyu kukimbia na kuacha bill....wote wajinga tu
 
Kwa nini ufe na kitu rohoni, hivi ungemwambia huna bajeti ya rafiki yake unadhani ungeonekana masikini au unadhani ungekuwa umejishusha?

Back in the days nimewahi kuwa katika mazingira ambayo mkitoka kila mtu analipia chake, au anakuambia kabisa you'll take care of drinks na mimi vyakula. Hakuna kupeana stress wakati mmetoka kufurahia. Najua kwa maisha yetu ni ngumu japo wapo wachache wanajitahidi, ila usiletewe mzigo wa kundi la watu uwalishe na kuwanywesha in the name of outing, unless of course mlipanga kutoka as a group.

Principle iko hivi, ukiniita manake una budget yangu, nikikuita manake nina budget yako.
Yalinikuta enzi hizo kwa binti wa Cbe mpuuzi yule sina hamu nae na wenzake...![emoji23][emoji23]

Nili experience hilo usemalo baada ya kuingia katika mahusiano na binti wa kijapani always ni 50/50 kulipa bills.....since day one mpaka sasa, wakati tunaenda outing for the 1st time baada ya kuimbisha almost mwaka finally akalegeza nati akaniambia nitakuja na mwenzangu nae anataka akuone kwani anapenda apate mwanaume wa kiafrika, sasa nilijiuliza sana ndio kwanza tunaanza mahusiano how come aje na rafiki yake si yatatokea yale ya yule wa Cbe [emoji23]
meeting point yetu kiwanja DM'restaurant Palm village _mikocheni nikaona hii sasa balaa naumbuka mtu mzima, nilikuwa na 50k tu mfukoni, nilipofika pale atms nje niongeze mzigo benki husika hakuna mtandao, ghafla simu ikaita mrembo ananiambia tulishafika toka saa 12:50 jioni ni saa 1:10usk sasa uko wapi? ahadi saa 1 kamili usk niliwehuka kinoma.....[emoji23][emoji23]
"Wenzetu wako on time mno", nikaona acha niingie lolote na liwe tu, hata sijui ujasiri nilipata wapi [emoji23]

Wakati wa kulipa bills nikashangaa wote wakatoa atm kadi zao malipo 50/50 kila mtu alipe alichokula na kunywa nikajisemea daah... Mungu hamtupi mja wake [emoji23]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hao mabinti bado una no zao[emoji23]
Ebu drop chin km bdo unazo
 
Hii tabia ya kubebana kikundi wanafanya sababu wanapenda outings,mfano weekend hii mwanakikundi akipata mwaliko anabeba kundi lake wanaibuka. Member mwingine akipata mwaliko hivyo anaalika mwenzie kwahyo inakuwa cycle.
Mara nyingi wanaofanya mdada kama hajakukubali lazima afanye hivi.

Nakumbuka mwaka juzi 2021,Kuna mdada nilianza kudate nae,alkuwa UDSM pale, first time tumekutana kwenye gari mwanza kwenye ofisi ya Kidia One. Alinikuta nipo kwenye foleni,aisee baada ya kumwona ule uzuri wake tu,yaan chap within a fraction of second nilkuwa nshapata plan ya kumpata mtoto mzuri. So,pale nikavunga napokea simu nikatoka nje,yeye kwa kuwa alikuwa nyuma yangu akaje mbele, lengo ili nijue atakata ticket ya wap na Mimi nikate ya uko uko anakoelekea,nilkuwa boya kweli[emoji1787][emoji1787] mwanaume nikafika mlangoni nikarudi kwenye foleni sasa nipo nyuma yake,aisee dada alkuwa ananukia vizuri,Ile harufu ilifanya kukazia wazo langu la kumfuata mpaka anapoelekea.

Imefika zamu yake kukata ticket,aisee hakuna moment maishani mwangu masikio na ubongo vilikuwa na ushirikiano kama siku hiyo.... never ever aisee....aisee nilifurahi sana baada ya sentensi zifuatazo kutoka kwa mkata ticket dada gari ya Dar imebaki na seat 2&3 tu na hiz zimebaki sababu zilkuwa booked ila watu wamecancel safari.

Ilkuwa furaha maradufu sababu na Mimi nlkuwa naelekea dar,kwahyo tupo njia Moja afu seat Moja,pale pale kutokana na umakini niliokuwa nao niliweza kukariri namba yake ya simu na jina lake pale alipoulizwa na mkata ticket. Baada ya kupewa ticket yake cjui alipotelea wapi,na Mimi nikabeba ticket yangu,nikosogea nje nkasave namba nikahakiki namba kupita M-pesa nikaona majina ni Yale Yale.

Usiku nikamtext kumtakia usiku mwema na safar njema baada ya kama nusu saa akareply "Asante,samahan wewe Nan?! Sikumjibu asubuhi kwenye gari tumepanda tukapeana salamu then nikalaza seat kidogo nikafunika sura kwa kofia then nikapga usingiz kwa raha zote sababu yake namba ninayo. Nmekuja shktuka gari ndo inaingia Shy stand. Binti Yuko busy anaangalia series ya "the oval" ndo tukaanza vistory vya hapa na pale.Ikabidi kwanza nitest for the validity nione binti kama Binti ni kauzu au la..nikamwomba anisimulia hyo movie inauhusu Nini,(wakati Mimi nishaiangalia yote).Dada kaanza nisimulia mwanzo mpaka alipoishia,tukaanza urafiki kidogo kidogo.nkawa nshajua ndo anakuja chuo UDSM,anaingia mwaka wa tatu etc kufika Morogoro tukawa kama tumefamiana toka 5yrs ago.

Tumefika mbezi nkamuuliza unaendaje kwako usiku wote huu akadai amezoea na anapoenda sio mbali sana anafika Goba kwa auntie yake then jtatu ndo ataanza harakati za kwenda hostel. Ikabidi pale niwe gentle kidogo Nika request bolt nkapakiza mizigo yake ya yangu nkamwambia nakupeleka Hadi kwenu....Nakumbuka alijibu....Oohh thank you, you're so kind. Hapo sijaomba hata namba Wala Nini tumefka Goba Hadi kwao pale Nikamshushia beki zake,then nikwamwambia hope tuonana tena,mara Auntie yake huyo akafungua geti wakanza mahug yao hapo,Mimi huyo nikarudi kwangu.

Asubuhi nikamtext kumtakia siku njema,hakujibu uzalendo ukanishinda ikabidi nmpigie,akaniuliza ni wap nilipata namba yake nikwambia plan yote niliyofanya Toka kule ofisini kwenye kuchukua ticket,nikaomba kuonana nae akasema atakuwa busy mpaka jumamosi ndo atakuwa free baada ya kumaliza masuala yote ya registration. Week nzima yote tulikuwa kama wapenzi wa muda mrefu kumbe wapi. Katika maongezi nikamuuliza anapenda siku ya date tukutane wap akaniambia napenda kuona maji so sehemu kama beach mahala pake.

Chap nikamcheck dada Fulani hivi mjanja mjanja anipe mwongozo wa restaurant nzuri ambazo zipo maeneo ya beach [emoji3553].Akanipa location moja hyo na price list ya dinner za pale...kuona zile price list niliishiwa nguvu ila ikabdi nipge moyo konde.
Budget pale kwa dinner ambayo ni seafood ni 250k,bahati nzuri kabalance nilkuwa na kama 350k nafanyaje na mtoto seriously nmependa...we only live once,vunja mifupa kama meno ipo.

Jumamosi asubuh akinipgia anadai Yuko free anaenda saloon mwenge so simu atakuwa ameweka pembeni nisiwe na wasi wasi pindi akiwa slow kwenye kujibu text,nikasema worry out mama be safe.
Ametoka saloon akanitumia picha aisee mtoto alkuwa amependeza hadi nikaanza kufeel insecure nkasema nijikaze nisije nikafall deep in love nae maana hapa lazima competition ni Kali sana,,ukizingatia Mimi kapuku. Nikamsifia pale then nikamwambia jioni saa kumi na mbili kamili ntakuja kukupick,tunaenda karambezi for dinner,alifurahi sana.

Sasa picha linaanza muda umefka nmerquest uber hadi location aliyoniambia nitamkuta kufka pale nkampgia simu akasema nakuja nmekuona tayari, nakuja shtuka naona warembo watu na yeye akiwemo,duuh niliishiwa pose chap kwa haraka wazo likanijia nimwoba anioneshe sehemu ambayo kujisaidia haja ndogo. Bahati nzuri pale lilikuwa ni geto la wale wadada wawili nikaingia chap fungua wallet nlkuwa nimebeba 300k.....fasta nikagawa Ile Hela kwenye mafungu mawili 150k Kwa wallet nyingne 150k nakaweka mfuko wa nyuma kabisa ya suruali.

Nimemaliza kupanga budget ya dharura nikarudi tukaanza safari ya kwenda kwenye eneo la tukio mabinti wako busy kujisnap. Ila tayar nilkuwa nimekwazika balaa,mtoto ananimbia kwenye Simu unaongea kweli hapa unajifanya mpole. Tumefka tumekaa kabla mhudumu hajaja nikwambia binti nataka nikachukue vocha kama Kuna maduka ya karibu,nikwamwobe aje pembeni tuongee,tukasogea pembeni kidogo sehem ambayo wale wengne walkuwa hawatuoni nikatoa 100k nikampa,afu nikaondoka nkamwambia ntarudi within 15 minutes.....nilifanya kusudi kuondoka Kwa zile dakka Ili akirudi kwa marafiki zake wajadili jinsi ya kutumia hyo 100k.

Nilizunguka maeneo ya hapo hapo baada ya kama dakka 15 nkarudi nkakuta wameagiza chupa mbili za wine [emoji485].Binti kanitext "are you okay"?! Nikamjibu am okay.
Nikamuuliza mbona mnakunywa wine tu hamna nyama?!! Akasema amebaki na 10k tu kwa ajil ya bajaj kurudi home coz alijua kuwa nmemtelekeza......Duuh nikashtuka kumbe chupa moja ni 45k.....nikamuuliza nyama akasema ni 35k......nikamwambia agiza,waiter akaje tukaagiza na Mimi nkachukua bia zangu mbili jumla 50k pamoja na nyama. Wadada wako enjoy pale,tukapga story baada around saa tatu wakaomba kuondoka nikiwapa go ahead wine ilkuwa imeanza kuwapelekesha. Uber bajaj ilkuja wakaondoka zao na Mimi nikaita zangu bajaji huyo. Kwahyo nkajikuta nmeokoa 100k.

Personally niliona nimewakomoa kumbe wali appreciate sana wakaniona Niko very kind.Next weekend walinialika geto kwahyo nikale ubwabwa mmoja matata sana.
Toka hapo Binti akuwahi kuja na wenzie Tena,nikawa kwanini siku hizi haji nao tena anasema kwa Sasa amenizoea kwa hyo ana haja ya escort.

Kuwatelekeza hawa viumbe kwenye scenerio kama hizo inakuwa umafia wa Hali ya juu sana,Bora ukamchana mkuu wao wa msafara kuwa una bajeti yao afu waone wanajichangaje,kuliko kuwaagizia afu ukale Kona, and by the way ningekimbia siku ile sijui hawa mapacha wangu ningewapata wap?..Mungu ametubariki fraternal twins mimi na dear future wife[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Mwanamke akinifanyia hv naweza muandalia mtego wa mtungo
Acheni uoga na ubishoo. Mimi enzi zangu akileta timu hapo hapo nacancel mtoko tunatawanyika.

Msiwaendekeze mademu. Haya yote tunapitia duniani leo chanzo ni wao. Sasa jidanganyeni mna Care. Wa kum care ni mmoja tu, yule umechagua kuwa nae kama mke. Lakini na yeye pia ni katika utaratibu wa mke na mume
 
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili. Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana, mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza. Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,

Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
Mkuu umeletewa mali unaikimbia,,?
Mimi napenda sn mpnz wangu aje na rafiki zake tukiwa outing.

Hizo showoff nitakazoleta hapo ,,

Nitavua chupi wote.,

Ukiona mwanamke anakuletea mashoga zake elewa amekudharau sn huna madhara yeyote.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Hii tabia ya kubebana kikundi wanafanya sababu wanapenda outings,mfano weekend hii mwanakikundi akipata mwaliko anabeba kundi lake wanaibuka. Member mwingine akipata mwaliko hivyo anaalika mwenzie kwahyo inakuwa cycle.
Mara nyingi wanaofanya mdada kama hajakukubali lazima afanye hivi.

Nakumbuka mwaka juzi 2021,Kuna mdada nilianza kudate nae,alkuwa UDSM pale, first time tumekutana kwenye gari mwanza kwenye ofisi ya Kidia One. Alinikuta nipo kwenye foleni,aisee baada ya kumwona ule uzuri wake tu,yaan chap within a fraction of second nilkuwa nshapata plan ya kumpata mtoto mzuri. So,pale nikavunga napokea simu nikatoka nje,yeye kwa kuwa alikuwa nyuma yangu akaje mbele, lengo ili nijue atakata ticket ya wap na Mimi nikate ya uko uko anakoelekea,nilkuwa boya kweli[emoji1787][emoji1787] mwanaume nikafika mlangoni nikarudi kwenye foleni sasa nipo nyuma yake,aisee dada alkuwa ananukia vizuri,Ile harufu ilifanya kukazia wazo langu la kumfuata mpaka anapoelekea.

Imefika zamu yake kukata ticket,aisee hakuna moment maishani mwangu masikio na ubongo vilikuwa na ushirikiano kama siku hiyo.... never ever aisee....aisee nilifurahi sana baada ya sentensi zifuatazo kutoka kwa mkata ticket dada gari ya Dar imebaki na seat 2&3 tu na hiz zimebaki sababu zilkuwa booked ila watu wamecancel safari.

Ilkuwa furaha maradufu sababu na Mimi nlkuwa naelekea dar,kwahyo tupo njia Moja afu seat Moja,pale pale kutokana na umakini niliokuwa nao niliweza kukariri namba yake ya simu na jina lake pale alipoulizwa na mkata ticket. Baada ya kupewa ticket yake cjui alipotelea wapi,na Mimi nikabeba ticket yangu,nikosogea nje nkasave namba nikahakiki namba kupita M-pesa nikaona majina ni Yale Yale.

Usiku nikamtext kumtakia usiku mwema na safar njema baada ya kama nusu saa akareply "Asante,samahan wewe Nan?! Sikumjibu asubuhi kwenye gari tumepanda tukapeana salamu then nikalaza seat kidogo nikafunika sura kwa kofia then nikapga usingiz kwa raha zote sababu yake namba ninayo. Nmekuja shktuka gari ndo inaingia Shy stand. Binti Yuko busy anaangalia series ya "the oval" ndo tukaanza vistory vya hapa na pale.Ikabidi kwanza nitest for the validity nione binti kama Binti ni kauzu au la..nikamwomba anisimulia hyo movie inauhusu Nini,(wakati Mimi nishaiangalia yote).Dada kaanza nisimulia mwanzo mpaka alipoishia,tukaanza urafiki kidogo kidogo.nkawa nshajua ndo anakuja chuo UDSM,anaingia mwaka wa tatu etc kufika Morogoro tukawa kama tumefamiana toka 5yrs ago.

Tumefika mbezi nkamuuliza unaendaje kwako usiku wote huu akadai amezoea na anapoenda sio mbali sana anafika Goba kwa auntie yake then jtatu ndo ataanza harakati za kwenda hostel. Ikabidi pale niwe gentle kidogo Nika request bolt nkapakiza mizigo yake ya yangu nkamwambia nakupeleka Hadi kwenu....Nakumbuka alijibu....Oohh thank you, you're so kind. Hapo sijaomba hata namba Wala Nini tumefka Goba Hadi kwao pale Nikamshushia beki zake,then nikwamwambia hope tuonana tena,mara Auntie yake huyo akafungua geti wakanza mahug yao hapo,Mimi huyo nikarudi kwangu.

Asubuhi nikamtext kumtakia siku njema,hakujibu uzalendo ukanishinda ikabidi nmpigie,akaniuliza ni wap nilipata namba yake nikwambia plan yote niliyofanya Toka kule ofisini kwenye kuchukua ticket,nikaomba kuonana nae akasema atakuwa busy mpaka jumamosi ndo atakuwa free baada ya kumaliza masuala yote ya registration. Week nzima yote tulikuwa kama wapenzi wa muda mrefu kumbe wapi. Katika maongezi nikamuuliza anapenda siku ya date tukutane wap akaniambia napenda kuona maji so sehemu kama beach mahala pake.
Chap nikamcheck dada Fulani hivi mjanja mjanja anipe mwongozo wa restaurant nzuri ambazo zipo maeneo ya beach [emoji3553].Akanipa location moja hyo na price list ya dinner za pale...kuona zile price list niliishiwa nguvu ila ikabdi nipge moyo konde.
Budget pale kwa dinner ambayo ni seafood ni 250k,bahati nzuri kabalance nilkuwa na kama 350k nafanyaje na mtoto seriously nmependa...we only live once,vunja mifupa kama meno ipo.

Jumamosi asubuh akinipgia anadai Yuko free anaenda saloon mwenge so simu atakuwa ameweka pembeni nisiwe na wasi wasi pindi akiwa slow kwenye kujibu text,nikasema worry out mama be safe.
Ametoka saloon akanitumia picha aisee mtoto alkuwa amependeza hadi nikaanza kufeel insecure nkasema nijikaze nisije nikafall deep in love nae maana hapa lazima competition ni Kali sana,,ukizingatia Mimi kapuku. Nikamsifia pale then nikamwambia jioni saa kumi na mbili kamili ntakuja kukupick,tunaenda karambezi for dinner,alifurahi sana.

Sasa picha linaanza muda umefka nmerquest uber hadi location aliyoniambia nitamkuta kufka pale nkampgia simu akasema nakuja nmekuona tayari, nakuja shtuka naona warembo watu na yeye akiwemo,duuh niliishiwa pose chap kwa haraka wazo likanijia nimwoba anioneshe sehemu ambayo kujisaidia haja ndogo. Bahati nzuri pale lilikuwa ni geto la wale wadada wawili nikaingia chap fungua wallet nlkuwa nimebeba 300k.....fasta nikagawa Ile Hela kwenye mafungu mawili 150k Kwa wallet nyingne 150k nakaweka mfuko wa nyuma kabisa ya suruali.

Nimemaliza kupanga budget ya dharura nikarudi tukaanza safari ya kwenda kwenye eneo la tukio mabinti wako busy kujisnap. Ila tayar nilkuwa nimekwazika balaa,mtoto ananimbia kwenye Simu unaongea kweli hapa unajifanya mpole. Tumefka tumekaa kabla mhudumu hajaja nikwambia binti nataka nikachukue vocha kama Kuna maduka ya karibu,nikwamwobe aje pembeni tuongee,tukasogea pembeni kidogo sehem ambayo wale wengne walkuwa hawatuoni nikatoa 100k nikampa,afu nikaondoka nkamwambia ntarudi within 15 minutes.....nilifanya kusudi kuondoka Kwa zile dakka Ili akirudi kwa marafiki zake wajadili jinsi ya kutumia hyo 100k.

Nilizunguka maeneo ya hapo hapo baada ya kama dakka 15 nkarudi nkakuta wameagiza chupa mbili za wine [emoji485].Binti kanitext "are you okay"?! Nikamjibu am okay.
Nikamuuliza mbona mnakunywa wine tu hamna nyama?!! Akasema amebaki na 10k tu kwa ajil ya bajaj kurudi home coz alijua kuwa nmemtelekeza......Duuh nikashtuka kumbe chupa moja ni 45k.....nikamuuliza nyama akasema ni 35k......nikamwambia agiza,waiter akaje tukaagiza na Mimi nkachukua bia zangu mbili jumla 50k pamoja na nyama. Wadada wako enjoy pale,tukapga story baada around saa tatu wakaomba kuondoka nikiwapa go ahead wine ilkuwa imeanza kuwapelekesha. Uber bajaj ilkuja wakaondoka zao na Mimi nikaita zangu bajaji huyo. Kwahyo nkajikuta nmeokoa 100k.

Personally niliona nimewakomoa kumbe wali appreciate sana wakaniona Niko very kind.Next weekend walinialika geto kwahyo nikale ubwabwa mmoja matata sana.
Toka hapo Binti akuwahi kuja na wenzie Tena,nikawa kwanini siku hizi haji nao tena anasema kwa Sasa amenizoea kwa hyo ana haja ya escort.

Kuwatelekeza hawa viumbe kwenye scenerio kama hizo inakuwa umafia wa Hali ya juu sana,Bora ukamchana mkuu wao wa msafara kuwa una bajeti yao afu waone wanajichangaje,kuliko kuwaagizia afu ukale Kona, and by the way ningekimbia siku ile sijui hawa mapacha wangu ningewapata wap?..Mungu ametubariki fraternal twins mimi na dear future wife[emoji847][emoji847][emoji847]
Experience nzuri na Pengine you guys we're destined to end up together

Lakini shida ni kwanini manzi aje na tagi ubavu bila kutoa taarifa?

Hapo lazima tuwafanyie umafia
 
Mkuu umeletewa mali unaikimbia,,?
Mimi napenda sn mpnz wangu aje na rafiki zake tukiwa outing.

Hizo showoff nitakazoleta hapo ,,

Nitavua chupi wote.,

Ukiona mwanamke anakuletea mashoga zake elewa amekudharau sn huna madhara yeyote.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Ahaaa na mimi ndio sipendqgi madharau,kwa hiyo mkuu uwa unatafuna hao mashoga zaje kumuonyesha kuwa huoendi madharau
 
Leta mambo tunayoyapenda humu JF
...like alikuwa mtamu balaa..anazungusha kiuno kama feni
 
Dah umetisha sana mwamba
 
Naunga mkono hoja,
Mabinti wangekula vyake na jamaa akalipia wangemuona fala na kumchukulia danga.
Kuna namna bint alitaka kumkomoa jamaa
Jamaa nae kafanya alchoweza kumkomoa zaid
Huo ndio ukweli
 
Yalinikuta enzi hizo kwa binti wa Cbe mpuuzi yule sina hamu nae na wenzake...![emoji23][emoji23]

Nili experience hilo usemalo baada ya kuingia katika mahusiano na binti wa kijapani always ni 50/50 kulipa bills.....since day one mpaka sasa, wakati tunaenda outing for the 1st time baada ya kuimbisha almost mwaka finally akalegeza nati akaniambia nitakuja na mwenzangu nae anataka akuone kwani anapenda apate mwanaume wa kiafrika, sasa nilijiuliza sana ndio kwanza tunaanza mahusiano how come aje na rafiki yake si yatatokea yale ya yule wa Cbe [emoji23]
meeting point yetu kiwanja DM'restaurant Palm village _mikocheni nikaona hii sasa balaa naumbuka mtu mzima, nilikuwa na 50k tu mfukoni, nilipofika pale atms nje niongeze mzigo benki husika hakuna mtandao, ghafla simu ikaita mrembo ananiambia tulishafika toka saa 12:50 jioni ni saa 1:10usk sasa uko wapi? ahadi saa 1 kamili usk niliwehuka kinoma.....[emoji23][emoji23]
"Wenzetu wako on time mno", nikaona acha niingie lolote na liwe tu, hata sijui ujasiri nilipata wapi [emoji23]

Wakati wa kulipa bills nikashangaa wote wakatoa atm kadi zao malipo 50/50 kila mtu alipe alichokula na kunywa nikajisemea daah... Mungu hamtupi mja wake [emoji23]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu,
Wenzetu hawana mbambamba kwenye hizi mambo. Bahati mbaya kwetu kuna vitu viwili vinatuzunguka katika issues za namna hii, mila zetu na umasikini wetu.
 
Back
Top Bottom