Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Mapenzi aslimia 90 kusoma amna maendleo yatakuja kweli
 
Shenzi sana kumbe ndo zako .

Na ndoma ukaenda kubambia na kumbato kavukavu demu Wa klabu .

Halafu ukaomba ushauri hapa

Watu tulisugua kichwa kukupa matumaini kumbe jitu lenyewe linawaza ngono kila sekunde .

Shabaaash!!![emoji16]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Itakuwa wewe huna chapaaa, bad face, zero brain, domo zege na huna hata body ya mazoezi.

Unategemea jina la degree unayoisomea ndio ikubebe. Kalaghabao!!!
 
We jamaa umenikumbusha mbali sana..wakati naingia chuo mwaka 2008 nilikuwa na idea kama zako..dah kilichotokea sitaki hata kukumbuka!! Kiukweli chuo hamna mademu aisee..
 
Tatizo mnapenda kitonga sana
 
hahahaha unabukua hadi huwaoni....mi nikiwa chuo sikuwai kanyaga demu...ila after chuo sasa nimezoa hivo inategemea akili yako umewekeza wapi....kama kwamademu utawapa tu
 
Mbona wapo kibao au machoni pako wanaonekana kama wanaume nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…