Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

kiasi flani uko sawa kiasi flani hauko sawa.Usije dhani urubani unaweza mchukua kilaza tu kumbuka kuna mitihani na vyeti vyake ni vya kimataifa kingine nikuongezee ni kwamba kozi ya chopa ni ngumu kuliko urubani wa ndege zingine
 
Inshallah
 
Mjomba hii ngoma sijui ndio ile kitu inaitwa diferentiesheni au intagresheni dah sijui ntakuwa nmekosea tusameane si unajua mambo ya HKL [emoji14][emoji14], ushaur wangu kikubwa itumie iyo ngoma kwenye kuchoma maindi unacheza ile kitu inaitwa fire diferentiesheni alafu utakuja kunishukuru kamwe muhindi auwezi kuungua na lazima cheo kipande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama hukupata Div One ama Two kwa kweli ni tatizo!! namna ya kukusaidia inakuwa ngumu we endeela kumpikia muhindi - kumbuka kuweka pilipili nyingii.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Kwa waliosoma miaka hiyo uliotaja, bado fursa za ajira zilikuwa ni nyingi. Mimi mwenyewe nimemaliza miaka michache mbele ya hapo, lakini nilizitema nafasi za kazi zaidi ya sita nilizopata ndani ya mwaka mmoja, zenye mshahara wa sh. 450,000/= za wakati huo 2004, nikachagua moja. Kwa hiyo kama unapika kwa mhindi kwa ujira huo tena za wakati huu, nadhani tatizo lipo upande wako
 
Hahaaa mkuuu...
Ume diverge sanaaaa...
Mpk kwenye upishiiiiii....?
Tena miaka hiooo....?
Ulizunguka round about nn.......?
Tulikua tunasema ku intergrate zero.

Kua mkweli mkuu.....
Ulitagaa?
Hahahahaah nimecheka sana
 
Pole sana sio wewe tu bali Wanafunzi wengi wanasoma bila kuelewa Malengo wala Ndoto zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…