Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Siku hizi marubani ni waliosoma form four na kupata hata div four bila kujali kasoma nini kigezo uwe mtoto wa kishua, unaanza vikozi vidogo vidogo vya kuendesha chopa, unakwenda nairobi kidogo, unakwenda sauzi ukirudi unaanza vikampuni vidogo unapata uzoevu mwisho unaanza kuyarusha
kiasi flani uko sawa kiasi flani hauko sawa.Usije dhani urubani unaweza mchukua kilaza tu kumbuka kuna mitihani na vyeti vyake ni vya kimataifa kingine nikuongezee ni kwamba kozi ya chopa ni ngumu kuliko urubani wa ndege zingine
 
bw mpishi kama badala ya kwenda prepo ulikuwa unaenda makanyagio au ruaha club disko au uwanjani kule chini kuinamisha mademu au kusimama kwenye korido za juu gizani kula mate watoto wa watu utakuwaje rubani? ukimuona mwalimu Mgimwa..Masatu..Tende waambie nawasalimia
Inshallah
 
Mjomba hii ngoma sijui ndio ile kitu inaitwa diferentiesheni au intagresheni dah sijui ntakuwa nmekosea tusameane si unajua mambo ya HKL [emoji14][emoji14], ushaur wangu kikubwa itumie iyo ngoma kwenye kuchoma maindi unacheza ile kitu inaitwa fire diferentiesheni alafu utakuja kunishukuru kamwe muhindi auwezi kuungua na lazima cheo kipande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums581414746.jpg
 
Kama hukupata Div One ama Two kwa kweli ni tatizo!! namna ya kukusaidia inakuwa ngumu we endeela kumpikia muhindi - kumbuka kuweka pilipili nyingii.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Kwa waliosoma miaka hiyo uliotaja, bado fursa za ajira zilikuwa ni nyingi. Mimi mwenyewe nimemaliza miaka michache mbele ya hapo, lakini nilizitema nafasi za kazi zaidi ya sita nilizopata ndani ya mwaka mmoja, zenye mshahara wa sh. 450,000/= za wakati huo 2004, nikachagua moja. Kwa hiyo kama unapika kwa mhindi kwa ujira huo tena za wakati huu, nadhani tatizo lipo upande wako
 
Hahaaa mkuuu...
Ume diverge sanaaaa...
Mpk kwenye upishiiiiii....?
Tena miaka hiooo....?
Ulizunguka round about nn.......?
Tulikua tunasema ku intergrate zero.

Kua mkweli mkuu.....
Ulitagaa?
Hahahahaah nimecheka sana
 
Pole sana sio wewe tu bali Wanafunzi wengi wanasoma bila kuelewa Malengo wala Ndoto zao!
 
Back
Top Bottom